Diamond afikisha followers Milioni moja Instagram

Diamond afikisha followers Milioni moja Instagram

Kuna kitu kinaniumiza kichwa, inasemekana bwana mdogo alikiba anamashabiki wengi sasa najiuliza inawezekana shabiki wa damu wa alikiba hujamfollow alikiba afu umemfolllw diamond? kwa mantiki ipi?

au ni kma kawaida ya bwana mdogo kutafuta kiki kupitia Raisi wa Wasafi dunia nzima? Naona ni mfano wa nyau anaejiona kama simba hivii, onatakiwa wamfollow afikie hta idadi ya followers wa Zari maana ni aibu Shardcole cute b pwilo miss lincoln sumbai

umeanza kusikiliza muziki lini??
 
Nlijua amefikisha $ 1m kwenye account kumbe followers ambao akipost hapati hata likes 10,000.....Kaone kina lil wayne akipost kitu ndani ya dakika ana likes 30,000.
 
Back
Top Bottom