Diamond afunguka kiroho mbaya kinachomfanya ampende Zari

we bado mtoro wa mama hujayajua mengi.
..
mwendatezi na omo marejeo ngamani
 
Hapo sasa ndipo niliposhangaa! Watoto wa baba wa taifa tu hawajinadi ijekua yeye mjinga fulani?
Hizi sifa za kijinga ndizo zinazonifanya nisimkubali Diamond hata kidogo!

Kama Baba wa mtoto ni Superstar wa Taifa kiujumla kwann watoto wasiwe wa Taifa!!!

Mfano kati ya mtoto wa Jay z na watoto wa George bush nani ni maarufu!!!... Ukifahamu hili utakiri mtoto mtarajiwa wa Diamond ni mtoto wa Taifa
 
Hapo sasa ndipo niliposhangaa! Watoto wa baba wa taifa tu hawajinadi ijekua yeye mjinga fulani?
Hizi sifa za kijinga ndizo zinazonifanya nisimkubali Diamond hata kidogo!

Tatizo shule shule mamaaaaaa!! Kwa umaarufu wa Jay z nae mtt wake angekuwa wa dunia nzima
 
Kama Baba wa mtoto ni Superstar wa Taifa kiujumla kwann watoto wasiwe wa Taifa!!!

Mfano kati ya mtoto wa Jay z na watoto wa George bush nani ni maarufu!!!... Ukifahamu hili utakiri mtoto mtarajiwa wa Diamond ni mtoto wa Taifa

Kwahiyo unataka kuniambia Diamond ni star kuliko Nyerere au nini?
 
Kwa Bongo hii mademu micharuko kila kukicha wao ni kujikwatua tuuu, kujipiga mapicha na kutupia instagram jioni wanararua mifuko yetu!!
Hongera ndomo kwa kupata demu anaejielewa!
Ndiyo maaana kiba anatoa mimacho tuu demu wa maana hana coz sio Int'l!!
Go ndomo toto la tandale!!!
 
Anyway hayaniuhusu sana, mambo ya watu sina muda nayo kuyafuatilia
 
te te te te, mnyatulu, kila wakati, anaka vitu te te te te
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…