Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Mtoto wa taifa hahahaa dah! Kweli ndomo ana furaha!
Hahahaaa acha tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa taifa hahahaa dah! Kweli ndomo ana furaha!
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha kama za meng
lazima mjue kutofautisha.....
Kati ya dem wa Kiba na Diamond!..:lol:
Hapo sasa ndipo niliposhangaa! Watoto wa baba wa taifa tu hawajinadi ijekua yeye mjinga fulani?
Hizi sifa za kijinga ndizo zinazonifanya nisimkubali Diamond hata kidogo!
Hapo sasa ndipo niliposhangaa! Watoto wa baba wa taifa tu hawajinadi ijekua yeye mjinga fulani?
Hizi sifa za kijinga ndizo zinazonifanya nisimkubali Diamond hata kidogo!
Kama Baba wa mtoto ni Superstar wa Taifa kiujumla kwann watoto wasiwe wa Taifa!!!
Mfano kati ya mtoto wa Jay z na watoto wa George bush nani ni maarufu!!!... Ukifahamu hili utakiri mtoto mtarajiwa wa Diamond ni mtoto wa Taifa
Kwahiyo unataka kuniambia Diamond ni star kuliko Nyerere au nini?
Msamehe bure ameropoka bila kutarajia
mtoto wa kitaifa hahahahahahaa
Hii couple haijawai kutokea hapa bongo Diamond na Zari watakuwa mabillionea.
Akiachana na zari akipata mwingine atasifia hivyo hivyooo
Akiachana na zari akipata mwingine atasifia hivyo hivyooo
Wakati akihojiwa na Clouds Fm kipindi cha leo Tena alipoulizwa anachopenda zaidi kwa Zari ni kitu gani?
Alifunguka kuwa anachopenda ni tabia ya Zari ya kujielewa. Akaendelea kufunguka Zari anajua kutofautisha maisha yao halisi na maisha ya instagram. Kwani baada ya maisha ya instagram ya mapichapicha anajua kuwekeza kwa ajili ya kesho na ni mshauri wake wa mipango ya kimaendeleo.
Pia anasema anazimia ngozi yake Zari Ile mbaya.
Kasema mtarajie mtoto na atakuja kwenye social media kuwaomba mmchagulie Jina siku zikifika maana huyu ni mtoto wa kitaifa.
Amekataa katakata kusema kati ya Zari na Wema nani anayaweza zaidi licha ya kubananishwa sana na watangazaji.
Pia alitumia nafasi hiyo kukanusha uvumi kuwa kagombana na Fela baada ya kumshauri Fela awanunulie gari Yamoto kwani kasema Yamoto wanajengewa kila mtu nyumba yake kitu ambacho ni kikubwa kuliko gari. So huo uvumi ni wa uongo.
Pia alikanusha kuwa na nyama ya kusindika (beef) na Ommy Dimpoz.
Nb: Mimi nimependa hiyo spirit ya Zari muda wa kazi mnapiga kazi, muda wa mapenzi mapenzi na muda wa kuuza sura mnauza sura.