Diamond afunguka kiroho mbaya kinachomfanya ampende Zari

Diamond afunguka kiroho mbaya kinachomfanya ampende Zari

Jasho lake, maisha yake sifieni tu...

ukweli ni huo mtoto wake anasubiriwa na wananchi wengi mpende msipende...kwenye ukweli musemege sio kujifanya hamkubai as kwanza hamjalazimishwa.

point zote nzuri zilizoandikwa hamjapenda mnakimbilia TAIFA so si nanyi muite wenu hivyo......
 
Teh Teh lemtotoz wa taifa......
 
Kwahiyo unataka kuniambia Diamond ni star kuliko Nyerere au nini?

Teh Teh habari yako nifah..? uknw..le mtotoz wa taifa...! Uknw lemutuz yeye ni babu wa taifa...na mjukuu wake BADILI TABIA ni mjukuu wa taifa..Teh Teh...uknw dunia ina mamboz.....

....boss usi nisue.....
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo unataka kuniambia Diamond ni star kuliko Nyerere au nini?

nyerere sio star.... Hebu jiulize ni wangapi wanataka kuishi kama alivyokuwa nyerere na wangapi wanataka kuishi kama Dai... Usinipe jibu
 
nyerere sio star.... Hebu jiulize ni wangapi wanataka kuishi kama alivyokuwa nyerere na wangapi wanataka kuishi kama Dai... Usinipe jibu

Ni bora ungekaa kimya kuilinda heshima yako iliyokua imebakia!
 
Tumekusikia baba wa taifa wacha tumsubirie mtoto wa taifa
 
Back
Top Bottom