Namaanisha waondoe tofauti zao na kuwa karibu kama zamani kisha washirikiane. Mambo ukuta sidhani kama yana ukweli wowote, ni moja kati ya maneno ya MOND ambayo nayaona ya kike na kutafuta kiki.
Mpuuzi we domo anamaneno ya dadazake sana alianza ooh king anavaa Pete zakijan za uganga akajamziki wake unaishia chalinze Mara wambien dada zenu wakariakoo waje ulaya usha msikia Kiba anamjibuKweli ukiangalia interview nyingi diamond anaonyesha hana bifu lakini alikiba anaonyesha anapenda bifu
Hivi povu lote hilo ni la kwangu tuMpuuzi we domo anamaneno ya dadazake sana alianza ooh king anavaa Pete zakijan za uganga akajamziki wake unaishia chalinze Mara wambien dada zenu wakariakoo waje ulaya usha msikia Kiba anamjibu
Hizi ni baadhi ya diss za kiba kwa mondMpuuzi we domo anamaneno ya dadazake sana alianza ooh king anavaa Pete zakijan za uganga akajamziki wake unaishia chalinze Mara wambien dada zenu wakariakoo waje ulaya usha msikia Kiba anamjibu
Sio single boy..... Fuatilia mkasa vzr ndo uongee. Single boy inatka bifu lilkuwa badoohawa hawawezi kufanya collabo tena na bado wana bifu baridi ila hawajionyeshi kabisa hasa Diamond. ishu ya kuzimiwa mic na kufutiana vocals kwenye ngoma ya single boy ni majibu tosha
diamond alikataaaJaman ni single boya au lala salama?? Nakumbuka kama ni lala salama jamaa alifuta sehem ga kiba,
hiyo kolabo naisubiri sanaWafanye kolabo ndiyo nitaamini.