Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Mimi siwezii,labda angekua dada angu sawaa au ndugu
wana shobo,wanafiki na kujipendekeza
anapenda kunyenyekewa yani ndo silka yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi siwezii,labda angekua dada angu sawaa au ndugu
Hahahaa!we noma binamu jasiri kama le mutuz hahahahahaa!
Yule jamaa alikoma mwenyewe anajidai yeye muuza genge na muda wake wa kuingia saa kumi jioni baada ya shemeji yake kurudi kibaruani na kumuachia laptop.
wana shobo,wanafiki na kujipendekeza
anapenda kunyenyekewa yani ndo silka yake
sijui yuko wapi yule@sunglass labda ana id nyingine
Babu yenu Le Mutuz hana hela ya kulipia choo cha jiji ,kazi yake ni kukojoa hovyo hovyo barabarani.
hahahaa!nimeona binamu nimecheka na kumhurumia juu jamani eeh!
hahahaa!nimeona binamu nimecheka na kumhurumia juu jamani eeh!
Toka awe member mwaminifu wa mmu totozi za kule zimemlainisha sana.
Unamuhurumia wakati ye anafurah kuongelewaaaa
Ila binamu babu yako ana vituko vilivyoshindikanika.
Juzi kati aliambiwa mange sura yako imechoka hunywi maji wewe weeee huyo haraka akajibu imechoka yako mwenyewe yaan kule wanakoment kwa kumuogopa anachosema wamfatee mi ndio maana napenda kwa Sintah watamtukana lakini hajibu nahis hua anachekaaa
anapenda kunyenyekewa mi kule nakaa ht mwezi sijaingia maana kusifiana tu kwa sintah kila siku hana shida mrs.kiroboto