Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Binamu nimelazwa hospital nina malaria
Pole nikuletee nini mgonjwa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu nimelazwa hospital nina malaria
hahaha nikae nigeuziwe kibao maan mtu akishakolewa na vichambo hata wasiokuwepo atawazoa mi naogopaga aiseeee ila watu wakichambana napenda unajua yaliyomo kama yamo unapata na misamiati mipya kwa matumizi ya badae
Hiyo avatar yako binamu mpaka kesho sijaielewa ina maana gan
.Warumi warumi mbona unaserebuka mama ubaya kuachwa?dah nilitegemea niwe mshenga,imenikata hiiMa mods please jaman weken huu uzi uwe sticked ili kila atakayeingia hauone kwa kweli, hii ni habare njema
Ivi binamu mimi na wewe tulishawahi kuchambanaga kweli??
Miguu ya kuku na utumbo binamu, usisahau na kichwa
miguu ya kuku na utumbo binamu, usisahau na kichwa
Ahaahha mimi nikipewaga ban uwa naangaliaga tu watu wanavyochambana dah uwa nafurah sana aiseeh
Hatujawahii ila nishawah kukuzingua na id mpya hhhhhhaaaaa
AHaahahah ID gan hyo?? Halafu najua watu wengi wanafanyaga hvyo sana maana unakuta ID ngeni ila huyo mtu anavyokutukana as if anakujua na anafuatilia karibia mambo yako yote ya humu, sometimes i doubt ila napotezea tu coz havinisaidii
Ndo vyakula vyetu vikuu uku vya wagonjwa maana hatulagi miguu ya kuku na utumbo mpaka tuumwe, kuku labda sikukuu
Nilisikia juu kwa jui, ngoja nikachek ligi vizur binamu
Mange eti kamchamba mbuta ni Zinjathropus loooo uyafikiri ye mzuriii
Miguu ya kuku na utumbo binamu, usisahau na kichwa