Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Yule jamaa alikoma mwenyewe anajidai yeye muuza genge na muda wake wa kuingia saa kumi jioni baada ya shemeji yake kurudi kibaruani na kumuachia laptop.

sijui yuko wapi yule@sunglass labda ana id nyingine
 
wana shobo,wanafiki na kujipendekeza
anapenda kunyenyekewa yani ndo silka yake

Juzi kati aliambiwa mange sura yako imechoka hunywi maji wewe weeee huyo haraka akajibu imechoka yako mwenyewe yaan kule wanakoment kwa kumuogopa anachosema wamfatee mi ndio maana napenda kwa Sintah watamtukana lakini hajibu nahis hua anachekaaa
 
Achilia mbali wao kwa wao kuzinguana sidhani kama hata wana nia ya kuoa au kuolewa na wengine,hasa wema tangu awe miss tz 2006 mpaka leo hajaolewa duh,diamond labda ataoa akifulia
 
Hhhhhhhhaaaaa aliniudhi juzi kati hapa nami niliamka vibaya loo tulipakanajee

Hahahaa!nlicheka sana siku ile eti kama umechefuka njoo ulambe tigo yangu nkasema Dinazarde ana maneno huyu mama ngosha loh!
 
Last edited by a moderator:

Soma kitabu ulichokaribu nacho ukurasa wa 52 sentense ya tano
 
Hahahaa!nlicheka sana siku ile eti kama umechefuka njoo ulambe tigo yangu nkasema Dinazarde ana maneno huyu mama ngosha loh!

Hhhaaaaaaaa ni shidaa maneno hua yanakuja tuu
 
Last edited by a moderator:
Juzi kati aliambiwa mange sura yako imechoka hunywi maji wewe weeee huyo haraka akajibu imechoka yako mwenyewe yaan kule wanakoment kwa kumuogopa anachosema wamfatee mi ndio maana napenda kwa Sintah watamtukana lakini hajibu nahis hua anachekaaa

anapenda kunyenyekewa mi kule nakaa ht mwezi sijaingia maana kusifiana tu kwa sintah kila siku hana shida mrs.kiroboto
 
Mi nimeingia kwa vile kwa sintah palikua hapafungukiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…