Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

hahaha nikae nigeuziwe kibao maan mtu akishakolewa na vichambo hata wasiokuwepo atawazoa mi naogopaga aiseeee ila watu wakichambana napenda unajua yaliyomo kama yamo unapata na misamiati mipya kwa matumizi ya badae

Ahaahha mimi nikipewaga ban uwa naangaliaga tu watu wanavyochambana dah uwa nafurah sana aiseeh
 
Ma mods please jaman weken huu uzi uwe sticked ili kila atakayeingia hauone kwa kweli, hii ni habare njema
.Warumi warumi mbona unaserebuka mama ubaya kuachwa?dah nilitegemea niwe mshenga,imenikata hii
 
Miguu ya kuku na utumbo binamu, usisahau na kichwa

Whaaaaaaaaat!!!!!!!! Nilidhan utaagiza mabaga,mapiza, azam juice,kuku mzima, namba unayopiga haipatikani kwa sasaa!!!!!
 
Ahaahha mimi nikipewaga ban uwa naangaliaga tu watu wanavyochambana dah uwa nafurah sana aiseeh

Umeshuhudia ligi ya mange na mbuta nanga leo IG?
Ha ha ha kuna watu zina matusi arooo!!!!
afu hivi ni kweli mbuta nanga alibakwa na muheshmiwa wa Arusha au kiki tu anatafuta?
 
Hatujawahii ila nishawah kukuzingua na id mpya hhhhhhaaaaa

AHaahahah ID gan hyo?? Halafu najua watu wengi wanafanyaga hvyo sana maana unakuta ID ngeni ila huyo mtu anavyokutukana as if anakujua na anafuatilia karibia mambo yako yote ya humu, sometimes i doubt ila napotezea tu coz havinisaidii
 
Whaaaaaaaaat!!!!!!!! Nilidhan utaagiza mabaga,mapiza, azam juice,kuku mzima, namba unayopiga haipatikani kwa sasaa!!!!!

Ndo vyakula vyetu vikuu uku vya wagonjwa maana hatulagi miguu ya kuku na utumbo mpaka tuumwe, kuku labda sikukuu
 
Umeshuhudia ligi ya mange na mbuta nanga leo IG?
Ha ha ha kuna watu zina matusi arooo!!!!
afu hivi ni kweli mbuta nanga alibakwa na muheshmiwa wa Arusha au kiki tu anatafuta?

Nilisikia juu kwa jui, ngoja nikachek ligi vizur binamu
 
AHaahahah ID gan hyo?? Halafu najua watu wengi wanafanyaga hvyo sana maana unakuta ID ngeni ila huyo mtu anavyokutukana as if anakujua na anafuatilia karibia mambo yako yote ya humu, sometimes i doubt ila napotezea tu coz havinisaidii

Nilikuzingua kidogo tuu,Id ya ndugu yangu ila ye haipendi jamii tu,,watu wanaweza kukujua kwa sababu kabla ya kujiunga jamii lazima usome kwanza baadhi ya majukwaaa,so usishangaeee
 
huu mwaka!; huku jay dee kamtimua gardner......hujakaa sawa ndomo kambwaga wema !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…