Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Hivi na kipindi cha kumchamba Mange ulikuwemo humu hhhhhaaaa zilikua timu mbili humu timu Mange na sie ambao hatumtakii hhhhhaa ilikuaga rahaa mnoii
AHAHahah aahaa ilikuwa shidaaa, maana kuna watu wanachamba nyie hapana, ila sisi tunavyopenda umbea tumekomaa tu mpaka leo, ila Matola kanichamba nyie ilikuwa nikiona jina lake najinyea kabisa aaaaaaaaah aaaah
Wamepoteaaa aisee ila watarudiii
Ahsante mjumbe wetuu
Unakumbuka jeshi la mtu mmoja.Nakumbuka siku hiyo nililala saa 8 yani jf bwana!!!
Hhhhaaaaaa hata warumi haumsaidii
Hhhhhaaa,hua sisahau kuna siku ulijiqoute na ukajichamba mwenyewee
Nami kuna siku nilijiquote nikajichamba hhhhhaaa unachamba hadi unajisahauu
Ukitaka kufurahia ligi ya kubishana awepo by nature ana maneno huyoo
Siku hiyo hata mi nilichelewa kulala
Hahahaaa binamu yangu huwa nampozaga jamani...ila mbishiii sijui Muha huyu...lol
Duh lol 😂 yani nyie watu mnanichekesha.. Naendelea kucheki move
Aiseee huyo noma maana ana michambo hadi namuogopaga kwakweli
Na warudi tu maana palipo na wengi pana mengi....
Na mbaaaado mtavimba hadi vidole Wema kimbizaaaaaaaaaa kwenye kona pshaaaaaaaaa
Hahaha am backoooooooo kimbunga kilinitupilia feri
Dhahabu nzuri ni ile iliyopitia kwenye tanuri la moto, nilikuwa nakukomaza, hata Mrembo by Nature alikuwa akiona Id ya Matola chupi ilikuwa inambana.
Ila ya kale yamepita sasa yamekuwa mapya, Lile jiwe walilolikataa waashi tazama sasa limekuwa jiwe kuu la pembeni.
Hahahaha Mrembo by Nature umenichekesha sana daa hili jukwaa ni moja ya majukwaa hot jf hahahaha
Jukwaa hot, halafu wanalolichezesha wapo HOT nini kinachofuata?? Ni shidaaa watuache miaka mia celebrities forum oyeeeeeeeeehh!!!!
Oyeeeeeeeeeeee