rahim mambo
Member
- Aug 12, 2014
- 18
- 6
Ila Diamond anayo dharau. Hivi Martin anajisikia je kwambiwa hawezi kununua BMW
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemsahau Heaven on Earth.
Unadhan Daimond hana akilii hua anacheza na akili za watu lakini wema si wa kuoaa ni wa kuoshea rungu tu
Mchikini mundi umekwisha chacha ndo ukome uache upareeeee mwanamke matunzo babue
By my side ni wa kuchafua rungu mwanamke gani ukiweza kumuhonga tuuu unapewa Double impact!
We alishakupa hizo double impact au maneno ya vichochoroni ukayaokota kama yalivyo???
Ila Diamond anayo dharau. Hivi Martin anajisikia je kwambiwa hawezi kununua BMW
Wema unamchukuliaje! First lady or!!!!,yule mala.ya kama ma.laya wengine sema yeye amepata exposure tuuu
Ila Diamond anayo dharau. Hivi Martin anajisikia je kwambiwa hawezi kununua BMW
Me pia nilikula ban pia ya siku daa ndo ilikua ban yangu ya kwanza..nilikosaje raha hadi nilipata homa lol..
Ila Diamond anayo dharau. Hivi Martin anajisikia je kwambiwa hawezi kununua BMW
Ilikua shida Si mchezo Kim nana aliisomaHahahaaa pole mwaya kumbe ndio maana sikukuona tena eeh
mwenzangu nilikua nnawasoma tuu watu humu kina tatiana,warumi,heavens wote nk siku niliyofanikiwa kujiunga nikawaambia kabisa jamani mi mbea tena sana