Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Yaan halaf warumi akanipm "binam mbona umejiqoute ukajichamba mwenyeweee aisee nilichekaaaa, ,,nae siku hajaqoute mchambo wake akajichambaa kidogo nizimiee kwa chekoo

Aaaaah aaaah ilikuwa shidaaa aiseeh ilibid niku pm maana ishu ile ilikuwa nyeti yan nilicheka kwa nguvu , kichambo kimekukolea mwenyew ukaanza kuji quote aaaaah sijui ulisikia kizungu zungu aaa
 
Last edited by a moderator:
Ajickie uchungu leba wodi zipo atajifungua. Km vip akamate roba la ndim. Hana uwezo ndio kwani uongo?! Ye mwenyewe kutwa anashinda kwny makalioni ya madam,akihangaika na mapochi ili apate walau chipc dume akalale,hapo alipo hajui hata kesho yake,leo BMW analitoa wp? Kadinda hapo ni kuwadi tu,kwanza alishamnanga Wema kua hana pesa ya kumlipa kilichomrudisha nini km sio kumkuwadia madame kwa vibopa?

Nimekupenda, naomba nikusajili kwenye kampuni ya warumi foundation , umetishaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ajickie uchungu leba wodi zipo atajifungua. Km vip akamate roba la ndim. Hana uwezo ndio kwani uongo?! Ye mwenyewe kutwa anashinda kwny makalioni ya madam,akihangaika na mapochi ili apate walau chipc dume akalale,hapo alipo hajui hata kesho yake,leo BMW analitoa wp? Kadinda hapo ni kuwadi tu,kwanza alishamnanga Wema kua hana pesa ya kumlipa kilichomrudisha nini km sio kumkuwadia madame kwa vibopa?

Binamu karibu kwa mikono miwili, Dinazarde team inaongezeka, chezeya sie mamaeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Yaan halaf warumi akanipm "binam mbona umejiqoute ukajichamba mwenyeweee aisee nilichekaaaa, ,,nae siku hajaqoute mchambo wake akajichambaa kidogo nizimiee kwa chekoo

Hahahaha unakuwa umechanganyikiwa na vichambo vya mafundi wa humu, unajikuta unajiquote mweeeee
 
Last edited by a moderator:
Ila binamu umeumia mwenyewe uliipendaje couple yao? Pole ndo maisha, inabid uanze kuipenda couple ya shilole na nuhu mziwanda

Binamu niliumiaje mwanzoni chezea harusi ya uwanja wa taifa.. muulize Kim nana anajua...

Hiyo couple ya Nuhu na Shilole wananichoshaga tu..sa hivi atachora tatoo kwenye korodani yule
 
Uliyoquote

Heheeee bahati nzuri huwa sijibizani na wanuka janaba wasojua hata kujiosha utok.ooo....
Am too good for these shit.......

Kama kuongea ni fedha basis kunyamaza ni dhahabu....
 
Binamu niliumiaje mwanzoni chezea harusi ya uwanja wa taifa.. muulize Kim nana anajua...

Hiyo couple ya Nuhu na Shilole wananichoshaga tu..sa hivi atachora tatoo kwenye korodani yule

Me kusema ukweli sipendi Diamond amuoe Wema...yani sijui naonaje au sijui ndo Nina gubu LA wifiii...lol
 
Kwa hiyo vinavyoongelewa humu vyote lazima vifanyike,nikisema kadinda shoga basi niwe nishamtafuna,nikisema chid benz anakula pelle basi ni sharti niwe nishavuta naye!

NB:Is this a personal attack or what!

Nothing personal.... If you think that way its your problem binam.

We kasome statement yako ya mwanzoni.. maana wengine ka tumesikia jambo tunasema nilisikia we umesound so sure ndio maana nikakuuliza
 
Nimpende nani....nimpendeee. Wemaaa!
Safari hii wakileta drama zao. Makofi yanawahusu wote, warudi shule na waache upuuzi wa kutongozana nyuma ya darasa.
 
Aaahh aaah kwa hiyo tulikuwa role models wako? Kumbe tupo juu eeh? Makofi tafadhal, karibu sana naona umekuwa gwiji na wewe

yaani we acha tu nilikua nafutahi hatari kila nikifungua email nasahau pasword au id yangu mpaka nikajikuta nna email km sita hivi siku inakubali nakumbuka alikua anachambwa matola nikadandia gari kwa mbele yuleee
 
Back
Top Bottom