Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Yani leo binamu nina furaha ya ajabu, furaha niliyopata leo ni kama nilivyopanda ndege mara ya kwanza kuelekea dubai
Ilikuaje binamu siku unaenda Dubaii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani leo binamu nina furaha ya ajabu, furaha niliyopata leo ni kama nilivyopanda ndege mara ya kwanza kuelekea dubai
Anajifanya mtoto ,kuchanganya l na r ndo kaziii,,anashindwa kusema vitu anamuuliza Nuhu hiyaaaaa
Hapana chezeyaa kumbe na sie tumo eeehh?? Duh hataree
Hadi mitaan hii kali hhhhhhaaaa
Chezeya sie, hakunaga miaka miaa, juzi kuna mtu alinialika dinner anasema anapendaga umbea wangu anataman sana kuniona live, mwenzangu ata sikwenda nikaogopa kumwagiwa tindikali, maana sijui nani mwema nani mbya, ila nilipenda sana kujumuika nae tupige maumbeya sema usalama kwanza
Kwa nini binamu? Wanavyohangaika kupaisha mahusiano yao mmh kazi wanayo wakaroge, ebu watupishe sie
Wakat ndege inaacha ardhi ndo nilitaka kupiga kelele, sijui nilikuwa nahisije, ushamba huu
Hahahaa unajua kitaa watu wanaaccess jf na kusoma vitu watu wanavyopost...ila wengi wao hawajajiunga na jf
Hhhhhaaa alikua mwanamke au!!!!mbona mi huniogopiii
Haswaa tuna mchango sana humu, ata kama bila sisi ndio jukwaa lingenoga pia ila radha yetu ni kubwa kuliko na ya aina yake haitatokea miaka miaaa
Hahahaa unajua kitaa watu wanaaccess jf na kusoma vitu watu wanavyopost...ila wengi wao hawajajiunga na jf
Ahahah!!! Kuna mtu alini Pm akasema yeye alijiunga jf kwa ajili yangu nilikuwa namfuraisha sana na umbea wangu, kwa kweli nilijisikia vizur kuwa inspire watu ata kama ni umbea ila inaleta raha kuona watu wanapenda unachofanya