Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlifanyanaje nyie hahhhhhaaaa
Huyu atakua kapanic ama mimi ndiye nnechanganya madesa
Hahahahaha mbavu zangu mieeeee woiiiiiii
Na hapo ndo napompendea Diamond hutakiwi toa pesa hovyo hovyo kama Ck,
Alikuwa ni mwanamke, halafu sijawahi kumuona humu jukwaan hata siku moja, so ikanipa hofu kidogo, sasa wewe nikuogopee nini?? Toka lini mchawi akamuogopa mchawi mwenzie? Ebu nipishe mie usiniletee mabalaa apa
Hapo chacha mtoto ana akili sana yule utahongaje wakati ndo kwanza muvie inaanza,huyo wema anajifanya anajua sana pesa ahamie BOT amuache mondi wa bi sandra na kina zari, weraaaaà
Weraaaaaaaaaa ulikua wapiiii
Niliibiwa sim mwenzio sasa hiki kimeo majanga,mida ya mchana naona tu post ubusy nashindwa changia, siku mbili hizi nimekondaaa umbea naupata wapi mie sinta nae akanibania basi ikawa tashtit kilo tano nimepungua hakyanani ubuyu wa zenji muhimu kwa afya
Ungekuwwpo siku hiyo ungecheka mpaka ufeeee ungeonaa hua siisahauu
Halaf ni ile mkichambwa warumi anakuja pm kwako anakuambia mmmmhhh binam tunalichamba lakini lina roho ngumu linachamba hilooo hhhhhhhhgaaaaa
Hhhhhhhhaaaaaa uwiiu halaf nimeona kwa sinta eti jf wanakupenda kinomaaa
Kwa nini binamu? Wanavyohangaika kupaisha mahusiano yao mmh kazi wanayo wakaroge, ebu watupishe sie