Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Mchikini mundi umekwisha chacha ndo ukome uache upareeeee mwanamke matunzo babue

Mwanamke matunzo anataka demu mkali halafu anakua mbahili.... kaniboa huyu mtoto wa Tandale na visababu vyake vya kijinga... si bora angekaa kimya.. sema tu mie ni shabiki wake ila kwa hili kanichosha
 
Bina nimefika, nacheka hapa kama chizi. Humu watu hawajatulia kabisa hahaha. nimecheka wewe na warumi mlivyojiquote afu mkajichamba haahahaha. geniveros nimekumbushwa leo ulivyosema "na mimi mmbea mwenzenu nipokeeni" mweee

Yaan halaf warumi akanipm "binam mbona umejiqoute ukajichamba mwenyeweee aisee nilichekaaaa, ,,nae siku hajaqoute mchambo wake akajichambaa kidogo nizimiee kwa chekoo
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka sana,ukatuacha mimi na Dinazarde nae pia akala ban ya siku moja....show ikaendelea mimi na miss Strong nae akala ban...uwiiii ilikua sheeedah hadi nikabaki na lethargy tuu

Me pia nilikula ban pia ya siku daa ndo ilikua ban yangu ya kwanza..nilikosaje raha hadi nilipata homa lol..
 
Last edited by a moderator:
Ila Diamond anayo dharau. Hivi Martin anajisikia je kwambiwa hawezi kununua BMW

Ajickie uchungu leba wodi zipo atajifungua. Km vip akamate roba la ndim. Hana uwezo ndio kwani uongo?! Ye mwenyewe kutwa anashinda makalioni kwa madam,akihangaika na mapochi ili apate walau chipc dume akalale leo BMW analitoa wp? Kadinda hapo ni kuwadi tu,kwanza alishamnanga Wema kua hana pesa ya kumlipa kilichomrudisha nini km sio kumkuwadia madame kwa vibopa?
 
Ila Diamond anayo dharau. Hivi Martin anajisikia je kwambiwa hawezi kununua BMW

Ajickie uchungu leba wodi zipo atajifungua. Km vip akamate roba la ndim. Hana uwezo ndio kwani uongo?! Ye mwenyewe kutwa anashinda kwny makalioni ya madam,akihangaika na mapochi ili apate walau chipc dume akalale,hapo alipo hajui hata kesho yake,leo BMW analitoa wp? Kadinda hapo ni kuwadi tu,kwanza alishamnanga Wema kua hana pesa ya kumlipa kilichomrudisha nini km sio kumkuwadia madame kwa vibopa?
 
Bina nimefika, nacheka hapa kama chizi. Humu watu hawajatulia kabisa hahaha. nimecheka wewe na warumi mlivyojiquote afu mkajichamba haahahaha. geniveros nimekumbushwa leo ulivyosema "na mimi mmbea mwenzenu nipokeeni" mweee

Ilikuwa shidaaaaa
 
Last edited by a moderator:
mwenzangu nilikua nnawasoma tuu watu humu kina tatiana,warumi,heavens wote nk siku niliyofanikiwa kujiunga nikawaambia kabisa jamani mi mbea tena sana

Aaahh aaah kwa hiyo tulikuwa role models wako? Kumbe tupo juu eeh? Makofi tafadhal, karibu sana naona umekuwa gwiji na wewe
 
Back
Top Bottom