Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Diamond afunguka "LIVE" Kuhusu kuachana na wema, BMW chanzo

Hivi na kipindi cha kumchamba Mange ulikuwemo humu hhhhhaaaa zilikua timu mbili humu timu Mange na sie ambao hatumtakii hhhhhaa ilikuaga rahaa mnoii

Unakumbuka jeshi la mtu mmoja.Nakumbuka siku hiyo nililala saa 8 yani jf bwana!!!
 
AHAHahah aahaa ilikuwa shidaaa, maana kuna watu wanachamba nyie hapana, ila sisi tunavyopenda umbea tumekomaa tu mpaka leo, ila Matola kanichamba nyie ilikuwa nikiona jina lake najinyea kabisa aaaaaaaaah aaaah

Dhahabu nzuri ni ile iliyopitia kwenye tanuri la moto, nilikuwa nakukomaza, hata Mrembo by Nature alikuwa akiona Id ya Matola chupi ilikuwa inambana.

Ila ya kale yamepita sasa yamekuwa mapya, Lile jiwe walilolikataa waashi tazama sasa limekuwa jiwe kuu la pembeni.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante mjumbe wetuu

Nashukuru sana...Kwa kweli pale Hanna ndoa. natamani nitiririke ila simu inaniangusha duh ..
Ila Wema aangalie tu ustaarabu wake...Chibu hawezi kumuoa...
 
Unakumbuka jeshi la mtu mmoja.Nakumbuka siku hiyo nililala saa 8 yani jf bwana!!!

Ukitaka kufurahia ligi ya kubishana awepo by nature ana maneno huyoo
Siku hiyo hata mi nilichelewa kulala
 
Wamepoteaaa aisee ila watarudiii
Nakumbuka nikamuona geniveros anasema jamani nikaribishenii mbea mwenzenu nilichekaaa

Aaaaaahhh aaaah nakumbuka, tukamkaribisha nakwambia mbea mwenzetu aaaah aaaaah
 
Last edited by a moderator:
Dhahabu nzuri ni ile iliyopitia kwenye tanuri la moto, nilikuwa nakukomaza, hata Mrembo by Nature alikuwa akiona Id ya Matola chupi ilikuwa inambana.

Ila ya kale yamepita sasa yamekuwa mapya, Lile jiwe walilolikataa waashi tazama sasa limekuwa jiwe kuu la pembeni.

Nimesisimka aiseeh, thank you cuzoo, you made me who iam today, it was a great challenge aiseeh , aaaahhh maana ilikuwa shidaaa
 
Back
Top Bottom