Diamond: Agent alishangaa watu wengi kuulizia nyumba niliyonunua SA

Diamond: Agent alishangaa watu wengi kuulizia nyumba niliyonunua SA

Hahaha wabongo sisi noma, unakuta hater wa uswazi anapiga simu huko south kwa broken ngeli as if anataka nunua. Wabongo balaa.
Mambo ya ajabu kabisa haya, ambayo hayana tija hata kidogo.
 
Hongera Diamond kununua mjengo South Africa ya INSTAGRAM.
 
uishi madale ununue nyumba south Hii hesabu haiitaji four figures kusolve
Wanaonunua nyumba South wanaishi maeneo gani hapo Dar? Kuna mshkaji wangu anakaa NJOMBE amenunua nyumba South....Hapo unasemaje? Au unadhani wenye hela wanaishi Dar tu?
 
Wanaonunua nyumba South wanaishi maeneo gani hapo Dar? Kuna mshkaji wangu anakaa NJOMBE amenunua nyumba South....Hapo unasemaje? Au unadhani wenye hela wanaishi Dar tu?
Amekariri wenye hela wanaishi oyster bay, hajui kama kule kumebaki wastaafu wa pensheni ya 50,000/= kwa mwezi.
 
“Kwahiyo ile kwangu mimi ni achievement kubwa, kumiliki nyumba South Africa sio kitu kidogo, na ndio maana nataka nikapapambe vizuri nikapitie njonjo haswaa halafu nikiingia South Africa ni mashauzi mengi sana. Of course sometimes you need to do that sababu unafanya kazi kwa bidii.”
self appreciation
 
Lazima mmoja wa wapiga cm atakua mange kimambi,na baada ya kupewa ukwel akafuta fasta hiyo post insta kwani alidai ni changa la macho Dai hajanunua wala nn
 
Komenti yako imenipa jibu la kiwango chako cha kufikiri na uwelewa wako wa mambo (naogopa kukuambia huna elimu sababu ya Lipumba)
Sibishani na mjinga mimi nenda kwa wajing wenzako
 
Ukiangali behind the scene za videos za nyimbo zake ndo utaelewa huyu jamaa anakila sababu ya kulingia mafanikio yake, jamaa anafanya kazi si kitoto, anaumiza sana kichwa na kutumia pesa nyingi kufanya kazi zake. Big up Simbaaa na Bongo njoo ununue mtaa mzima.
 
anauza unga huyo
 
Hebu Tazama Nchi zilizo endelea hii nyumba ina maana imeuzwa kwa bei ya milion 390 ina maan ni kama Dola $180000 na nyumba ya maaan ipo kweny mtaa wa maan

Sasa inakuwaje hizi nyumba za huku kwetu TANZANIA bei zinazo uzwa ni bei za ajabu ajabu na sehem zenyew hazina mazingira mazur ?

Ina maan Tanzania kuna thaman sn za nyumba kuliko huko SOUTH AFRICA nataka kuelimishwa maan sielewi
 
Back
Top Bottom