Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,581
Mambo ya ajabu kabisa haya, ambayo hayana tija hata kidogo.Hahaha wabongo sisi noma, unakuta hater wa uswazi anapiga simu huko south kwa broken ngeli as if anataka nunua. Wabongo balaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya ajabu kabisa haya, ambayo hayana tija hata kidogo.Hahaha wabongo sisi noma, unakuta hater wa uswazi anapiga simu huko south kwa broken ngeli as if anataka nunua. Wabongo balaa.
Aliulizwa hili swali na SHILAWADU, akajing'ata,ng'atauishi madale ununue nyumba south Hii hesabu haiitaji four figures kusolve
Wanaonunua nyumba South wanaishi maeneo gani hapo Dar? Kuna mshkaji wangu anakaa NJOMBE amenunua nyumba South....Hapo unasemaje? Au unadhani wenye hela wanaishi Dar tu?uishi madale ununue nyumba south Hii hesabu haiitaji four figures kusolve
Amekariri wenye hela wanaishi oyster bay, hajui kama kule kumebaki wastaafu wa pensheni ya 50,000/= kwa mwezi.Wanaonunua nyumba South wanaishi maeneo gani hapo Dar? Kuna mshkaji wangu anakaa NJOMBE amenunua nyumba South....Hapo unasemaje? Au unadhani wenye hela wanaishi Dar tu?
self appreciation“Kwahiyo ile kwangu mimi ni achievement kubwa, kumiliki nyumba South Africa sio kitu kidogo, na ndio maana nataka nikapapambe vizuri nikapitie njonjo haswaa halafu nikiingia South Africa ni mashauzi mengi sana. Of course sometimes you need to do that sababu unafanya kazi kwa bidii.”
[emoji1] [emoji2] [emoji2]uishi madale ununue nyumba south Hii hesabu haiitaji four figures kusolve
Komenti yako imenipa jibu la kiwango chako cha kufikiri na uwelewa wako wa mambo (naogopa kukuambia huna elimu sababu ya Lipumba)uishi madale ununue nyumba south Hii hesabu haiitaji four figures kusolve
Akadhani maelfu ya Wabongo wanataka kuhamia South....Wabongo noma kweli.Agent alifikiri biashara inataka kuchanganya, kumbe hamna kitu. Wabongo nuksi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akahisi labda tunamkimbia MaguAkadhani maelfu ya Wabongo wanataka kuhamia South....Wabongo noma kweli.
Sibishani na mjinga mimi nenda kwa wajing wenzakoKomenti yako imenipa jibu la kiwango chako cha kufikiri na uwelewa wako wa mambo (naogopa kukuambia huna elimu sababu ya Lipumba)
anauza unga huyoUkiangali behind the scene za videos za nyimbo zake ndo utaelewa huyu jamaa anakila sababu ya kulingia mafanikio yake, jamaa anafanya kazi si kitoto, anaumiza sana kichwa na kutumia pesa nyingi kufanya kazi zake. Big up Simbaaa na Bongo njoo ununue mtaa mzima.
Nimejaribu kupata picha ya tukio zima nimecheka sana.Hahaha wabongo sisi noma, unakuta hater wa uswazi anapiga simu huko south kwa broken ngeli as if anataka nunua. Wabongo balaa.