Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
hii habari haina mantiki kwetu kama ameshalipa faini
Alikuwa na kesi huko IringaUnamtia gundu tu dogo
huyu muandishi wa habari matapishi kabisa....yeye ni mlalamikaji na jamuhuri ndo wenye kesi sasa anakata rufaaa kwa shangazi yake au ...Watuhumiwa wamelipa faini hiyo japo mwanahabari huyo hajapokea fedha hiyo na anakusudia kukata rufaa katika mahakama ya juu zaidi
afungwe bana tulikamu lile dubwana lake ....nagongana nalo kila siku kwenye chipsi pale kwa hamijei madukani...sasa dogo anakaba sana ....apigwe mvua watu tujipindue kama DEMBA BA....