Diamond ahukumiwa kwenda Jela miezi 6; alipa faini!

Diamond ahukumiwa kwenda Jela miezi 6; alipa faini!

Du! manake nilimsikia huyo mwandishi kakataa 1.5M kama fidia anataka haki itendeke mie nikamuona pimbi tu, manake anakaza kwa kesi uchwala! sasa hakimu kamwambia apokee TZS 30,000, acheni jela wakae watu na kesi za maana.
We utakua muuza karanga
 
Afungwe Tu maana hakuna namna..... Wait, kwani kampiga lini?
 
hahahah huwa naenjoy sana mkuu....
Bhana eh... kuna siku nilikuwa nasoma uzi wa miaka kadhaa iliyopita... ama 2012 au 2013! Yaani mtu una-enjoy sana unapoona wale wale waliyokuwa wanaongea enzi hizo na wanayoongea sasa!!
 
Ina maana akitaka kugombea hata ubunge haiwezekaniki.maana ile ni hukumu ya jinai
 
bongo ukichapa mademu flani wanaonekana ni wakali lazima washkaji wajenge chuki!ndo nilichokisoma kwa diamond!nimegundua platinumz ana haters wengi kwasababu la hilo tu!!!!!mshkaji mpole na ana heshima lakini kuna watu wanamuombea sana mabaya!
Jamaa umepotea sana, comment zako zilikuwa baabkubwa kwenye hili jukwaa
 
Bhana eh... kuna siku nilikuwa nasoma uzi wa miaka kadhaa iliyopita... ama 2012 au 2013! Yaani mtu una-enjoy sana unapoona wale wale waliyokuwa wanaongea enzi hizo na wanayoongea sasa!!
Mimi huwa naenjoy sana unafiki wa watz kwenye ishu ya Lowasa, mtazamo wa wanajf kipindi lowasa yuko ccm na baada ya kwenda chadema, yaani ukifufua hizo nyuzi za miaka miwili iliyopita utachoka mwenyewe
 
Shiiiii! Ongea pole pole huko ndo usiseme kabisa!!! Patamu zaidi hayo ndo utayakuta kule kule wanakojiona ni ma-great thinker manake sie tunaoongeaga issue za akina Diamond tunaonekanaga vi.laza! Na ni kweli, majority ni watu wazima na madgrii yao! Lakini ukipekua nyuzi za miaka ya nyuma kuhusu EL na ukawasikia hao hao leo hii kuhusu EL... wallah unaweza kuzimia!!
 
Siwezi kuishangaa hukumu hiyo, kwani ndizo mahakama zetu na mahakimu tulionao. Kamera kwa malipo ya sh 30,000 ni haki kwa mahakama zetu. Mahakimu wanajidhalilisha wenyewe

Very True JALUO
 
Back
Top Bottom