Kireka1980
JF-Expert Member
- Mar 18, 2008
- 302
- 44
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu leo asubuhi kabla ya kupata kifungua kinywa kwakujiandaa kwenda job nilisikia kwenye redio one nipashe kua yule muimbaji wa nyimbo za kizazi kipya namzungumzia Diamond kua eti kahukumiwa kwenda jela miezi 6! Jamani kuna mtu mwenye hizi taarifa kwaundani zaidi tupate kujua?
Jamani ebu wacheni kufurahia matatizo yawenzenu,msisahahu kua na nyie pia na binadamu. kama amekosa wajibu wake kutumikia kosa alilofanya lakini sio vizuri kushadidi......
bongo ukichapa mademu flani wanaonekana ni wakali lazima washkaji wajenge chuki!ndo nilichokisoma kwa diamond!nimegundua platinumz ana haters wengi kwasababu la hilo tu!!!!!mshkaji mpole na ana heshima lakini kuna watu wanamuombea sana mabaya!
mi nachukia masharobaro a.k.a pretenders...yani hata kama ww ni pretender basi nakuchukia...
bongo ukichapa mademu flani wanaonekana ni wakali lazima washkaji wajenge chuki!ndo nilichokisoma kwa diamond!nimegundua platinumz ana haters wengi kwasababu la hilo tu!!!!!mshkaji mpole na ana heshima lakini kuna watu wanamuombea sana mabaya!
utanashati na kipaji cha dogo ndo usharobaro?kuizuia nyota inayong'aa ni ngumu sana!mimi kama una kipaji na unajipenda sitokuchukia!
[B said:Muuza Sura[/B];3114658]utanashati na kipaji cha dogo ndo usharobaro?kuizuia nyota inayong'aa ni ngumu sana!mimi kama una kipaji na unajipenda sitokuchukia!
poa tu.maisha yanaendelea![]()
Msanii Diamond na mcheza show wake wakiwa nje ya mahakama ya Mwanzo Iringa mjini
MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mwandishi Bw. Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela MIEZI 6 Kila mmoja ama kulipa faini shilingi 50,000 kwa Kila mmoja ikiwa ni Pamoja na kulipa sh. 30,000 kwa Godwin.
Watuhumiwa wamelipa faini japo Francis Godwin hajapokea fedha hiyo na kukusudia kukata rufaa katika mahakama ya juu zaidi
Ningependa kujua umri na elimu yako. Umefika std seven kweli?Angekupiga wewe ndio nyota yake ingezidi kung'aa na yako ingeambukizwa mng'ao uuze sura hadi kwenye noti zetu.
Du! manake nilimsikia huyo mwandishi kakataa 1.5M kama fidia anataka haki itendeke mie nikamuona pimbi tu, manake anakaza kwa kesi uchwala! sasa hakimu kamwambia apokee TZS 30,000, acheni jela wakae watu na kesi za maana.