Diamond ahukumiwa kwenda Jela miezi 6; alipa faini!

Pole yake lakini ajifunze ya kuwa ukiwa msanii ni kioo cha jamii kwa mazuri na si kuwa mkorofi na kutotii sheria ya nchi
 
kama ni kweli atalipa faini tu na kurudi mtaani
 
kalipa faini ya elfu hamsini na kurudi uswahilini kama kawaida
 
bongo ukichapa mademu flani wanaonekana ni wakali lazima washkaji wajenge chuki!ndo nilichokisoma kwa diamond!nimegundua platinumz ana haters wengi kwasababu la hilo tu!!!!!mshkaji mpole na ana heshima lakini kuna watu wanamuombea sana mabaya!
 
Huyu mtoto mjinga! Na ngoma ikivuma sana.... Mbona kuna watu wamepata umaarufu mkubwa kuliko yeye na hawana ujingaujinga kama yeye!
 
Jamani ebu wacheni kufurahia matatizo yawenzenu,msisahahu kua na nyie pia na binadamu. kama amekosa wajibu wake kutumikia kosa alilofanya lakini sio vizuri kushadidi......

Yaani mtu ajichome mwenyewe mwiba, halafu atake pole kutoka kwa watu waliomwona akijichoma. Khaaa!!!
 
bongo ukichapa mademu flani wanaonekana ni wakali lazima washkaji wajenge chuki!ndo nilichokisoma kwa diamond!nimegundua platinumz ana haters wengi kwasababu la hilo tu!!!!!mshkaji mpole na ana heshima lakini kuna watu wanamuombea sana mabaya!

mi nachukia masharobaro a.k.a pretenders...yani hata kama ww ni pretender basi nakuchukia...
 
mi nachukia masharobaro a.k.a pretenders...yani hata kama ww ni pretender basi nakuchukia...

utanashati na kipaji cha dogo ndo usharobaro?kuizuia nyota inayong'aa ni ngumu sana!mimi kama una kipaji na unajipenda sitokuchukia!
 
huyu dogo kalewa sifa, kila siku yeye kwenye vyombo vya habari, who is diamond by the way? asome, huwezi kuwa maarufu bila elimu ukafanikiwa
 
bongo ukichapa mademu flani wanaonekana ni wakali lazima washkaji wajenge chuki!ndo nilichokisoma kwa diamond!nimegundua platinumz ana haters wengi kwasababu la hilo tu!!!!!mshkaji mpole na ana heshima lakini kuna watu wanamuombea sana mabaya!

Angekua mpole na ana heshima asingempiga huyo mwandishi au hata kuingia hatiani kwa ugomvi.
Kwani TID alivyohukumiwa mwaka mmoja alikua na nani?
Ujinga kulea ujinga kwa kisingizio cha haters...
Ningekua hakimu,mwaka mmoja ndani,akitoka ana adabu.
 
utanashati na kipaji cha dogo ndo usharobaro?kuizuia nyota inayong'aa ni ngumu sana!mimi kama una kipaji na unajipenda sitokuchukia!

Angekupiga wewe ndio nyota yake ingezidi kung'aa na yako ingeambukizwa mng'ao uuze sura hadi kwenye noti zetu.
 
Huyo mwandishi nae kupigwa na diamond nae katulia anasubiri akashtaki? Diamond mwenyewe mgeni Iringa akuletee vurug...
Nashindwa kuendelea
 
[B said:
Muuza Sura[/B];3114658]utanashati na kipaji cha dogo ndo usharobaro?kuizuia nyota inayong'aa ni ngumu sana!mimi kama una kipaji na unajipenda sitokuchukia!

Muuza Sura ==sharobaro, am out!
 
this is where boys never mature to be men............and hence they will remain boys...........
 
ilikuwaje hata diamond akamshambulia huyo mwandishi wa habari?au alikua anataka udaku?
 
poa tu.maisha yanaendelea
 
Du! manake nilimsikia huyo mwandishi kakataa 1.5M kama fidia anataka haki itendeke mie nikamuona pimbi tu, manake anakaza kwa kesi uchwala! sasa hakimu kamwambia apokee TZS 30,000, acheni jela wakae watu na kesi za maana.
 
Angekupiga wewe ndio nyota yake ingezidi kung'aa na yako ingeambukizwa mng'ao uuze sura hadi kwenye noti zetu.
Ningependa kujua umri na elimu yako. Umefika std seven kweli?
Du! manake nilimsikia huyo mwandishi kakataa 1.5M kama fidia anataka haki itendeke mie nikamuona pimbi tu, manake anakaza kwa kesi uchwala! sasa hakimu kamwambia apokee TZS 30,000, acheni jela wakae watu na kesi za maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…