Halafu anampa featuring Sheikh Kipozeo kwenye hiyo scene mpya! Safi kabisa.Kelele za nini?
Kama anaona BASATA wamemuonea akarekebishe kile kipande aweke cha msikitini. Mbona simple tu?
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Ila ninajiuliza maswali mengi bila majibu;Unaweza kutuambia umuhimu wa ile scene ya kanisani kuwepo pale ni nini? Na kwanini huo umuhimu usiwe msikitini ilihali zote nyumba za ibada?
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Halaf ni mwislam, msikitini pangefaa zaidi.Msikiti nao ni nyumba ya Ibada kwanini asingeenda kushutia huko . Aache mambo yake bwana
Itakuwa wewe ni mvaa kipedo.Unampangia atumie jengo gani ? Ulimtungia nyimbo au ulikuwa Director wa hio Scene ?
Tutakapoanza kupangiana cha kufanya na wapi tukifanye basi dunia hii itakuwa a very Boring Place..., Yaani Magereza ya Nje
Serikali ya Tanzania inaendeshwa kishamba tu.Ni haki yake kulalama
Ila mimi mpaka sasa sijaona kosa la Mondi
Mbona banana zoro ni mkristo na nyimbo yake alishutia kanisani mbona akufungiwa
huko Youtube na nyumbani kwako fanya unavyotaka lakini ni marufuku video hiyo kusambazwa popote nchini. Ukiionyesha kwenye basi, bar, kumbi za sinema au kumrushia mtu kwenye simu unatenda kosa na tutakukwida.Sa kwanini wanatangaza ifungiwe uku youtube ipo
Sijaangalia hio Scene ila siwezi kumpangia mtu afanye kitu wapi hata angeamua kukifanyia makuburini kwenye mizimu ya mababu zake...Unaweza kutuambia umuhimu wa ile scene ya kanisani kuwepo pale ni nini? Na kwanini huo umuhimu usiwe msikitini ilihali zote nyumba za ibada?
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Kweli waliotuletea hizi Imani walituweza sana..., yaani sasa wewe ushakuwa referee wa imani kwamba nani afanye nini na wapi ?Itakuwa wewe ni mvaa kipedo.
Kashutieni msikitini
Ndiyo tutafika.Kweli waliotuletea hizi Imani walituweza sana..., yaani sasa wewe ushakuwa referee wa imani kwamba nani afanye nini na wapi ?
Na je Hindus wakianza kuja juu kwa kuona kwamba Their Divine Animal (Cow) anafanyishwa kazi ngumu ? Tutafika kweli hapo !!!!
Kwahio wao wenye akili za hivyo na wewe mwenye akili kama zao mtuharibie wengine ambao hatumo kwenye hizo pettiness ?Ndiyo tutafika.
Katuni ya mtume iliua Mwalimu ufaransa na maandamano makubwa Mpaka huku Africa .
Kila mtu Aches within his perimeter.
Okay nimekuelewa KWA reply hii uzi ufungwe.Kwahio wao wenye akili za hivyo na wewe mwenye akili kama zao mtuharibie wengine ambao hatumo kwenye hizo pettiness ?
For what ?!! Imani ambazo core foundation zake ni upendo na uvumilivu ?. Nadhani tuna mengi yenye tija na yanayotusumbua tuyashughulikie zaidi ya hizi petty indifference....
Kanisa lipo Kisarawe, mkoa wa pwani, TanzaniaIla ninajiuliza maswali mengi bila majibu;
- Hili kanisa liko bongo au ughaibuni?
- Lile jengo la kanisa walilivamia bila ruhusa ya wenyewe?
- Waumini wa hilo kanisa wanalizungumziaje hili tukio?
- Viongozi wa hilo kanisa wamechukua/chukuliwa hatua gani?
Mambo ni mengi kwa kweli.