Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Hapa mumemuonea tu, maana sijaona tatizo la hiyo scene kanisani, nadhani hata ingefanyika msikitini sitegemei waislamu wangejilipua kwa yale mabomu yao

Hapa mumemuonea tu, maana sijaona tatizo la hiyo scene kanisani, nadhani hata ingefanyika msikitini sitegemei waislamu wangejilipua kwa yale mabomu yao

Ndo akajaribu basi Msikitini aone. Unawajua waIslam wewe au unawasikia?
 
Unafungiaje wimbo wakati ushawekwa Youtube na umezamwa zaidi ya mara milioni 18?

BASATA wakitaka kufanya shughuli zao za usimamizi waweke sheria ya kwamba kama msanii ni Raia wa Tanzania na anataka kuendelea kuwa Raia wa Tanzania basi haruhusiwi kuachia kazi zake mahali popote pale duniani na kwenye mitandao bila ya kibali cha BASATA.
 
1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.

2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli

3. Ndege tulizoambiwa na Zito Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana

4. Tanzania haijashutakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lisu

5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia

6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa Serikalini ,utendaji wa serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.

7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa
 
Back
Top Bottom