inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Ndiyo maana nimekwambia unataka nijibu utakavyo,kasome Tena jibu languSwali Ni mtaruhusu? Sasa sijaona kama umejibu hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana nimekwambia unataka nijibu utakavyo,kasome Tena jibu languSwali Ni mtaruhusu? Sasa sijaona kama umejibu hapo
Wew kati ya wote ndo usema ukweli sasa.Hakuna watu wana dhalilisha nyumba za ibada kama hao wachungaji fake mawaidha yao matusi tu mambo ya ngono mara waende kwa Mungu kupitia darini na misikitini ma shekh fake mawaidha mambo ya nguoni tu na vitendo vya kubaka na kuna wakati ngumi zinapigwa kugombea sadaka, hawa ndio wana dhalilisha nyumba za ibada kila siku. Kuna kwaya utasema msondo ngoma na kuna kaswida utasema singeli.
Kale kamsalaba ni ka yesu Mzungu!! ...je wazungu wenyewe wamelalamika?? sasa kwa nini weye nyani Mweusi unalalamika? Ili iweje??wenye yesu wao kimyaaaaa!Safi sana apigwe na fine ya kuvaa msalaba wao bila kibali.
Yaani kabisa!!! na ka yesu kao hako hakata kuja! watasubiri sana yaani!Uonevu tu
Mkuu Hivi are you capable of having a descent conversation as a human being?Ndiyo maana nimekwambia unataka nijibu utakavyo,kasome Tena jibu langu
Anatumbuiza bure kabisaharafu akiitwa kwenye kampeni diamond unaenda kutumbuiza Kama kawaida au hapana
domo la ...hujaza ya ujazayo moyo!Acha na mimi we malaya kafirwe na manyokaaa.
Nikimjibu,karudie kusoma jibu langu,ukiona hakuna jibu endelea na Mambo mengine,na sipo kwenye ushindaniMkuu Hivi are you capable of having a descent conversation as a human being?
Mbona Kila kitu mpaka unataka ukwepe kwepe utumie tricks ili ushinde hoja?
Kwani tuna ugomvi? Unanijua?
Kwani tunashindana?
Mimi nimekuuliza swali rahisi Tu Wala huhitaji kuanza kuogopa au kufikiria Sana ..just be honest.
Swali Ni Je wakristo wakirekodia misikitini mtaruhusu???
Sijauliza mambo ya kanisani Kuna Nini...
Akashut msikitini jmn si muislamu huyo!Ni haki yake kulalama
Ila mimi mpaka sasa sijaona kosa la Mondi
KabisaaaAkashuti Msikitini.
Swali ingekuwa waislamu wamefanyiwa hivyo,pangekalika?Kwahio wao wenye akili za hivyo na wewe mwenye akili kama zao mtuharibie wengine ambao hatumo kwenye hizo pettiness ?
For what ?!! Imani ambazo core foundation zake ni upendo na uvumilivu ?. Nadhani tuna mengi yenye tija na yanayotusumbua tuyashughulikie zaidi ya hizi petty indifference....
Asante kwa jibu[emoji120]Kwani nyimbo zinazohamasisha zinaa zinalenga kanisa?
Yes,kuna LA kujifunzaHapa ndipo utakapoona Waislam wako makini sana katika imani yao hata kwa chembe ya pesa. Utakuta kiongozi wa kanisa kaambiwa kabisa kuwa tunataka kufanya hivi na hivi na tutalipa sh kadhaa kwa hili. Kiongozi kaona aisee fresh lete tu mtonyo. Nenda na ela yoyote kwa kiongozi wa msikiti hata iwe nyongi kiasi gani lakini katu hawezi kukuruhusu kufanya upumbavu kwenye msikiti wao.
Nadhani kuna la kujifunza kwa wakristo kwa ujumla kuwa lindeni misingi ya imani yenu. Mkiwa serious na imani yenu hakuna mpuuzi yeyote atakaye thubutu kuichezea imani yenu. Ataingiwa na uoga
Kumbe[emoji848]Video ya kikora, pia wimbo(audio) hauna content yoyote ya dini ya kikiristo kwa nini ukashoot kanisani tena walivyo kuwa wanaimba kwa kejeli kwenye hiyo scene ni uchokozi tu kwa wakirsto.
Safi sanaaaHadi sasa viongozi wote wakanisa walioruhusu upuuzi huo wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi
Issue ni msudhui piaWala ishu sio kushutia kanisan angekuwa mkristo wasingemfungia. ..Na wakristo hawana shida Na anayeshoot kanisan ...
Ishu Ni wakristo wakishutia misikitini inajulikana waislam wataandamana....kwann diamond muislam afanyie hvo kanisani?
Soma tena bibliaYesu hajawahi kuingia kanisani,Hilo halikua kanisa,wayahudi hawaabudu kanisani
Ndio maana kuanzia mwanzo nilisema waliotuletea hizi Imani walitukosea sana..., Mimi kama mlaji naona effect ya kuanza censorship kulingana na nani anaonaje au atajisikiaje tukifika huko hakuna kujenga bali ni kubomoa sababu kinachogombaniwa ni pettiness, na kwa imani zilizojengwa kwa misingi ya uvumilivu nadhani ni kupoteza energy za bure kuongelea kama fulani amedharau imani yangu..., Hata akidharau so what ? Anakupunguzia wewe nini ?Swali ingekuwa waislamu wamefanyiwa hivyo,pangekalika?
Au mkuki kwa nguruwe?
Acheni dharau bwana