Huelewi unachokisoma hakuna Mwenyezi Mungu alipotoa sacrifce, hilo ni agizo kwa Ibarahim.Na ambalo Waislaam mpaka leo hii, wanachinja kila Eid Al Ad'ha au Eid Ahaj.
Tunaochinja hao wanyama ni sisi binadam kwa faida yetu sisi, Mwenyezi Mungu haihitaji hiyo nyama. Nyama ya hao wanyama wanaochinjwa huliwa na sisi binadam, inatawanywa karibu na inapochinjwa kwa yeyote na wanapotosheka inagawanywa duniani kote wanapohitaji, mpaka tanzania huwa inaletwa.
Hapo ndipo tulipopata mafundisho ya uchinjaji huo wa wanyama. Hakuna kinyume chake kama unavyojaribu kupotosha wewe.
Sasa fananisha hiyo na nyie mnaekula nyama ya Yesu na kunywa damu yake. Tena cha kushangaza huo mnaosema mwili wa yesu mnaupika kwa mashonde. Bisha nikupe aya ya biblia.
Tena kwa kukukumbusha tu, Tanzania bei ya kondoo na mbuzi hupanda sana kipindi cha Eid kuliko wakati wowote.
Ma shaa Allah, mafundisho ya Qur'an ni faida juu ya faida juu ya faida. Kumbuka hilo.