Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Wacha kudanganya wewe. Weka source ya hu uharo wako. Soma:

(37:107) And We ransomed him with a mighty sacrifice, 66. “A great sacrifice”: A ram, as mentioned in the Bible and the Islamic traditions, that Allah's angel presented at the time before the Prophet Abraham (peace be upon him), so that he should sacrifice it instead of his son.

Source: Surah As-Saffat Ayat 107 (37:107 Quran) With Tafsir
Sasa hapo kuna tofauti gani? Ransom ilimuhusu Isaac ingawa mmebadili na kusema ni Ishmael.. tuliache hilo.

Kwanini hapo Quran inazungumzia suala la blood sacrifice?
 
Nani anae sacrifice hapo? Na nini kinachokuwa "sacrificed"?
 
Alikuwa anafanya sacrifice Abraham na aliyekuwa anatakiwa kuwa sacrificed ni mwanaye (Isaka) na ndipo Mungu akamzuia Abraham asimchinje mwanaye bali achukue yule kondoo aliyekuwa amenaswa kwenye kichaka.

Sasa hiki ndio Mungu amefanya kwa Kristo Yesu, ametuepusha sisi na kuangamia kwa kumleta mwanaye achukue nafasi ambayo tunastahili. Yesu ndio sawasawa na huyo kondoo na damu yake ndio imeleta ukombozi.
 
Ifike mahala wakristo tuamke hakuna mtu kushoot video au kuigizia kanisan labda wote wawe ni wakristo tu, ole wake mtu yoyote aruhusu kanisa kuchezewa atakula kichapo havii hii ni amri sio ombi kabisaaaa!!!! Wanezidii wanatafutia ugali kupitia mgongo wa kanisaa ni kuwastopisha tuu hakuna namna mbona misiki yao hawatumii tena mwingine kaujenga juzi juzi tu pumbavuu
 
Wacha kudanganya wewe. Weka source ya hu uharo wako. Soma:

(37:107) And We ransomed him with a mighty sacrifice, 66. “A great sacrifice”: A ram, as mentioned in the Bible and the Islamic traditions, that Allah's angel presented at the time before the Prophet Abraham (peace be upon him), so that he should sacrifice it instead of his son.

Source: Surah As-Saffat Ayat 107 (37:107 Quran) With Tafsir
Kwa Nini Allah alijitolea sacrifice?
 
Kwa Nini Allah alijitolea sacrifice?
Unaonesha Kingereza kinakupiga chenga, soma tafsiri ya Kiswahili...

104. Tulimwita: Ewe Ibrahim! 104

105. Umekwisha itimiliza ndoto. Hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wanao tenda mema. 105

106. Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri. 106

107. Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu. 107

108. Na tukamwachia (sifa njema) kwa watu walio kuja baadaye. 108

109. Iwe salama kwa Ibrahim! 109

110. Hivi ndivyo tunavyo walipa wanao fanya mema. 10
 
Basata wamempa mswahili cha kuongea, nyimbo sijaiona lakini kusema kashoot kanisani ndio afungiwe haiingi akilini.

Nakumbuka banana video ya ZOBA kama sikosei ilikuwa na scene ya kanisani, sikumbuki kama ilifungiwa.
Issue sio scene, issue ni maudhui waliyoiigizia huko kanisan
 
Unaonesha Kingereza kinakupiga chenga, soma tafsiri ya Kiswahili...

104. Tulimwita: Ewe Ibrahim! 104

105. Umekwisha itimiliza ndoto. Hakika hivi ndivyo tunavyo walipa wanao tenda mema. 105

106. Hakika haya ni majaribio yaliyo dhaahiri. 106

107. Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu. 107

108. Na tukamwachia (sifa njema) kwa watu walio kuja baadaye. 108

109. Iwe salama kwa Ibrahim! 109

110. Hivi ndivyo tunavyo walipa wanao fanya mema. 10
Hakuna mambo ya kingereza Allah alitoa fidia , kwa mnyama alichinjwa na kuwa sacrifice , hii sacrifice ilielekezwa kwa nani?
 
Huelewi unachokisoma hakuna Mwenyezi Mungu alipotoa sacrifce, hilo ni agizo kwa Ibarahim.Na ambalo Waislaam mpaka leo hii, wanachinja kila Eid Al Ad'ha au Eid Ahaj.

Tunaochinja hao wanyama ni sisi binadam kwa faida yetu sisi, Mwenyezi Mungu haihitaji hiyo nyama. Nyama ya hao wanyama wanaochinjwa huliwa na sisi binadam, inatawanywa karibu na inapochinjwa kwa yeyote na wanapotosheka inagawanywa duniani kote wanapohitaji, mpaka tanzania huwa inaletwa.

Hapo ndipo tulipopata mafundisho ya uchinjaji huo wa wanyama. Hakuna kinyume chake kama unavyojaribu kupotosha wewe.

Sasa fananisha hiyo na nyie mnaekula nyama ya Yesu na kunywa damu yake. Tena cha kushangaza huo mnaosema mwili wa yesu mnaupika kwa mashonde. Bisha nikupe aya ya biblia.

Tena kwa kukukumbusha tu, Tanzania bei ya kondoo na mbuzi hupanda sana kipindi cha Eid kuliko wakati wowote.

Ma shaa Allah, mafundisho ya Qur'an ni faida juu ya faida juu ya faida. Kumbuka hilo.
 
Kwa uchawi hawamuwezi, kwa pesa hawamuezi na hata kwa connection hawamuezi, sasa analialia nini...
 
Huelewi unachokisoma hakuna Mwenyezi Mungu alipotoa sacrifce, hilo ni agizo kwa Ibarahim.Na ambalo Waislaam mpaka leo hii, wanachinja kila Eid Al Ad'ha au Eid Ahaj.

Tunaochinja hao wanyama ni sisi binadam kwa faida yetu sisi, Mwenyezi Mungu haihitaji hiyo nyama. Nyama ya hao wanyama wanaochinjwa huliwa na sisi binadam, inatawanywa karibu na inapochinjwa kwa yeyote na wanapotosheka inagawanywa duniani kote wanapohitaji, mpaka tanzania huwa inaletwa.

Hapo ndipo tulipopata mafundisho ya uchinjaji huo wa wanyama. Hakuna kinyume chake kama unavyojaribu kupotosha wewe.

Sasa fananisha hiyoi na nyie mnaekula nyama ya Yesu na kunywa damu yake. Tena cha kushangaza huo mnaosema mwili wa yesu mnaupika kwa mashonde. Bisha nikupe aya ya biblia.

Tena kwa kukukumbusha tu, Tanzania bei ya kondoo na mbuzi hupanda sana kipindi cha Eid kuliko wakati wowote.

Ma shaa Allah, mafundisho ya Qur'an ni faida juu ya faida juu ya faida. Kumbuka hilo.
Nipe maana ya neno sacrifice
Tumalize ngonjera zako
 
Back
Top Bottom