Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Diamond aibuka na kupinga wimbo wake kufungiwa, asema nchi ina wenyewe

Wakati mwingine wakafanyie hayo maigizo yao kwenye misikiti! Kwa nini kanisani kila siku? Yeye na huyo mwezi wake, wote ni waislam! Iweje wasiende kufanyia hiyo shooting msikitini, au kwenye Madrasa?

Hongereni sana BASATA. Angekuwa ni Mkristo akaenda kufanya hayo maigizo msikitini, muda huu zingekuwa kelele nchi nzima.
Siyo kelele tu, kanisa/makanisa yangechomwa
 
Huelewi unachokisoma hakuna Mwenyezi Mungu alipotoa sacrifce, hilo ni agizo kwa Ibarahim.Na ambalo Waislaam mpaka leo hii, wanachinja kila Eid Al Ad'ha au Eid Ahaj.

Tunaochinja hao wanyama ni sisi binadam kwa faida yetu sisi, Mwenyezi Mungu haihitaji hiyo nyama. Nyama ya hao wanyama wanaochinjwa huliwa na sisi binadam, inatawanywa karibu na inapochinjwa kwa yeyote na wanapotosheka inagawanywa duniani kote wanapohitaji, mpaka tanzania huwa inaletwa.

Hapo ndipo tulipopata mafundisho ya uchinjaji huo wa wanyama. Hakuna kinyume chake kama unavyojaribu kupotosha wewe.

Sasa fananisha hiyoi na nyie mnaekula nyama ya Yesu na kunywa damu yake. Tena cha kushangaza huo mnaosema mwili wa yesu mnaupika kwa mashonde. Bisha nikupe aya ya biblia.

Tena kwa kukukumbusha tu, Tanzania bei ya kondoo na mbuzi hupanda sana kipindi cha Eid kuliko wakati wowote.

Ma shaa Allah, mafundisho ya Qur'an ni faida juu ya faida juu ya faida. Kumbuka hilo.
Na usisahau kitimoto huwa inabaki nyingi sana wakati wa mfungo wa Ramadhani... Hata huko kwenye rost au kavu nako huwa inabaki nyingi sana kipindi hicho..
 
FB_IMG_16521180681193008.jpg
 
Wakati mwingine wakafanyie hayo maigizo yao kwenye misikiti! Kwa nini kanisani kila siku? Yeye na huyo mwezi wake, wote ni waislam! Iweje wasiende kufanyia hiyo shooting msikitini, au kwenye Madrasa?

Hongereni sana BASATA. Angekuwa ni Mkristo akaenda kufanya hayo maigizo msikitini, muda huu zingekuwa kelele nchi nzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeshasema ni mkristo

Domo na zuchu waislamu. Misikiti ipo mingi tu tena kuna mmoja huwa anasema kaujenga angeenda huko kushutia video zake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unampangia atumie jengo gani ? Ulimtungia nyimbo au ulikuwa Director wa hio Scene ?

Tutakapoanza kupangiana cha kufanya na wapi tukifanye basi dunia hii itakuwa a very Boring Place..., Yaani Magereza ya Nje

Kwani kuna tatizo akishutia msikitini,
 
Kajamaa kana nyodo sana
Eti "tuendelee kuwakilisha taifa lao" kana kwamba anatufanyia hisani.

Aende msikitini kwao huko akayakate na mauno
 
Ubaya upi umeuona pale??
Tusimulie...
Amekosea
Kuwahadaa watumishi wa hilo Kanisa na pesa zake, maana pale panaonekana kutokuwa mjini kabisa.

Katumia njaa za watumishi 😂 sababu Katoliki hatuingiagi na simu Kanisani.. yeye kwanini aact vile?
Alichokosea kingine pale hakuna ujumbe wowote positive..
 
Tatizo anajiona star kama nyimbo ya Mabantu...
 
harafu akiitwa kwenye kampeni diamond unaenda kutumbuiza Kama kawaida au hapana
 
Ila Mabantu huawaga wana mistari very unique...
Hahahaha...

Wamechana sana mule wamemaliza Kila kitu...
Unataka Rrrrr na hauna salio? Nyoo
Hainaga shobo mwanangu 🤣🤣🤣
Kiruuuuuu 🤸‍♂️🙄
 
Back
Top Bottom