Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
wivu...Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
naunga mkono hojabora tanzania iwekeze tu kwenye tasnia ya muziki kuliko mpira wa miguu
Kinachoniuma ni hiki. Wakati Diamond anatafuta mkwanja huko mimi muda huu nahangaika kumtongoza kiziwi mmoja hivi.
Anang'ang'ania tuongee wakati hanisikii na kuchati hataki.
Ni vurumai.
kwahiyo kwako wazungu wakikuambia bon'goka unabon'goka bila kuuliza. Maana unawaabuduππππππHakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Wivu humchoma aliyehifadhiHakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Kauli uliyotumia sio. America ni kubwa mno. Jimbo moja ni sawa nchi moja.Huyu dogo wa Tandale na Mfalme wa Madale Chibu D,anazidi kuichafua Marekani kama sio kuivuruga kabisa...hizi show si mchezo...View attachment 807534 View attachment 807538 View attachment 807541 View attachment 807543 ....
Inaezekana ni darasa tokana na wivu wako wa kike.mbona usemi kaingiza mkwanja kiasi ganiHakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Husda hii!Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Angalia mkuu. Unakoelekea si kuzuri, utakuja kuwa mchawi.Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Imeona ehhhHakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Panga kwenye simu mkuu?mshikie panga ataelewa tuuuu