Diamond Aichafua Marekani

Diamond Aichafua Marekani

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Huyu dogo wa Tandale na Mfalme wa Madale Chibu D,anazidi kuichafua Marekani kama sio kuivuruga kabisa...hizi show si mchezo...
Screenshot_20180711-214341.png
Screenshot_20180711-214357.png
Screenshot_20180711-214502.png
Screenshot_20180711-214536.png
....
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
 
Kinachoniuma ni hiki. Wakati Diamond anatafuta mkwanja huko mimi muda huu nahangaika kumtongoza kiziwi mmoja hivi.

Anang'ang'ania tuongee wakati hanisikii na kuchati hataki.

Ni vurumai.
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
kwahiyo kwako wazungu wakikuambia bon'goka unabon'goka bila kuuliza. Maana unawaabudu😀😀😀😀😀😀
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Inaezekana ni darasa tokana na wivu wako wa kike.mbona usemi kaingiza mkwanja kiasi gani
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Husda hii!
 
Angalia mkuu. Unakoelekea si kuzuri, utakuja kuwa mchawi.
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Imeona ehhh
 
Back
Top Bottom