Diamond Aichafua Marekani

Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
kwani show za africa wanao huzuria ni wakina nani??? hata za huko show ya nani utawakuta wakina billgates, mark, jack ma etc...

hizo hizo pesa za wabeba box zina msaidia kusukuma maisha... kajiajiri ktk mziki... na wewe jiajiri... usikae kubeza juhudi za mwenzako... ni ujinga
 
Watu wanafuatilia maisha ya watu baki lakini hata ndugu zao hawajui wakoje. Wanaishije.nk. noma sana.
kama ndugu zao taarifa zao hazipo wazi utazifatilia za nini...???
 
Nilifikiri kachafua Mazingira [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
Halafu huko Marekani nani anaijua Tandale,hawa watu wa matangazo buure kabsa,hatawabeba boksi nao hawatapata waache box wamfuate domo?kwa kipi zaidi
 
Moja kijana ambaye niwakipekee hapa tz ni huyu jamaa... Anavyopigan namaisha nihatare.

Hawa wakina alikiba wapo tu kumpa ushindan ila mwisho wasiku, usipomkubal utakua mchawi.
 
Mimi nauliza huyu promota DMK global si ndio nyani ngabu au mm namjua mwingine?
 
Moja kijana ambaye niwakipekee hapa tz ni huyu jamaa... Anavyopigan namaisha nihatare.

Hawa wakina alikiba wapo tu kumpa ushindan ila mwisho wasiku, usipomkubal utakua mchawi.
kuna kitu hakipo sawa...akiongelewa Diamond sio lazima atajwe Ali kiba...makosa haya tumeyafanya kwenye mpira Simba na Yanga..ndio maana hatufiki mbali...
 
KOMBE LA DUNIA NDIO LINAISHIA HIVYO,ATAIMBA LINI?
 
Haya buana,hivi kiba anafanya show za wap now?
 
Vile na mimi nipo huku huku Boston,lazima nimuunge mkono msanii kutoka my motherland.

Karibuni sana Boston WCB Team
 
Vile na mimi nipo huku huku Boston,lazima nimuunge mkono msanii kutoka my motherland.

Karibuni sana Boston WCB Team
Vingunguti ndanindani kuna kamtaa kanaitwa Boston, Diamond atakua Boston ya USA sio ya Vingunguti acha kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…