Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
kwani show za africa wanao huzuria ni wakina nani??? hata za huko show ya nani utawakuta wakina billgates, mark, jack ma etc...Hakuna lolote!!! hakuna mmzungu wa maana hata moja anayeweza kuhudhuria, wengi huwa naona ni wabeba box wachache waliotoka afrika sana sana afrika mashariki tena kwenye kaukumbi ambacho kapo kama darasa la wanafunzi
hizo hizo pesa za wabeba box zina msaidia kusukuma maisha... kajiajiri ktk mziki... na wewe jiajiri... usikae kubeza juhudi za mwenzako... ni ujinga