Diamond aimbe nini tena....?!!


Diamond anajiita sukari ya warembo, wewe mrembo?

Malaya wengi wanatembea na kila aina ya wanaume

Diamond he had a chance to make history ila matusi na lifestyle yake sio ya kumpa sifa za mtu wa uma

Binafsi napensa mziki wake, ila muwe na kiasi mnapokuwa na mzuka wa mahaba!!

Yope mzuri

Marry you naweza kusikiliza kila siku

Kibaya kuliko vyote dunia hii hata ufanye nini hauwezi kupendwa na kila mtu

kuna mtu yuko radhi ajiue kwa nyimbo za Gigi Money!..ni mahaba kama haya yako kwa diamond
 

Hebu ntolee utumbo wako hapa
 
Mkuu mziki Ni utambulisho wa taifa ujue nenda kote huko ukujuako lazima kuwe na Aina ya muziki
 
Ali Kiba kaimba hadi manyimbo ya brass band za jeshi, Ali Kiba kisha tengeneza beat linalia kama mlio wa treni
[emoji23][emoji23][emoji23] Beat la wimbo gani hilo?
 
Umemaliza kila kitu king Diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…