mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Ameimba hip hop. Fresh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Amesharap........... ...Fresh Rmx
2. Ameimba taarab........ Nasema na wewe
3. Ameimba zouk.......... Ntampata wapi na nyingine nyingi
4. Ameimba RNB.......... Nenda kamwambie na nyingine nyingi
5. Ameimba Afro Pop......... fire fire na nyingine nyingi
6. Ameimba mchiriku......... Mdogo Mdogo
7. Ameimba Singeli................ Moto
8. Ameimba Pop...................... African Beauty na nyingine nyingi
9. Ameimba Bolingo.......... Inama, Yope
Honestly, katika historia ya Muziki wa Tz hakuna wa kumfikia Diamond in terms of versality, ameshaimba mahadhi mengi sana ya nyimbo na kote huko ametoa hit songs kitu ambacho hakuna aliyejaribu kujaribu achilia mbali kufanikiwa.
Tukatae tukubali, kumchukia Diamond ni kuuchukia wakati, huu ni wakati wake, kitakachomtoa nambari moja ni pale wakati wake utakapoisha.
Miaka ya 2010’s , tutaikumbuka kama miaka ya Diamond Platnumz, kama vile tukizungumzia 1960’s tunavyowakumbuka The Beatles kwenye Muziki au 1980’s na MJ...
Diamond anajiita sukari ya warembo, wewe mrembo?
Malaya wengi wanatembea na kila aina ya wanaume
Diamond he had a chance to make history ila matusi na lifestyle yake sio ya kumpa sifa za mtu wa uma
Binafsi napensa mziki wake, ila muwe na kiasi mnapokuwa na mzuka wa mahaba!!
Yope mzuri
Marry you naweza kusikiliza kila siku
Kibaya kuliko vyote dunia hii hata ufanye nini hauwezi kupendwa na kila mtu
kuna mtu yuko radhi ajiue kwa nyimbo za Gigi Money!..ni mahaba kama haya yako kwa diamond
Hata Ali kiba ameshaimbaga hizo tu hapendi kujionesha![emoji16]
Hajaimba
1. Sokous
2. Country music
3. Reggae
4. Rhumba
5. Gospel songs na Qaswida
Reggae (BINADAMU WABAYA)Hajaimba
1. Sokous
2. Country music
3. Reggae
4. Rhumba
5. Gospel songs na Qaswida
Ali Kiba kaimba hadi manyimbo ya brass band za jeshi, Ali Kiba kisha tengeneza beat linalia kama mlio wa treniHata Ali kiba ameshaimbaga hizo tu hapendi kujionesha!😁
[emoji23][emoji23][emoji23] Beat la wimbo gani hilo?Ali Kiba kaimba hadi manyimbo ya brass band za jeshi, Ali Kiba kisha tengeneza beat linalia kama mlio wa treni
Umemaliza kila kitu king Diamond1.Amesharap........... ...Fresh Rmx
2. Ameimba taarab........ Nasema na wewe
3. Ameimba zouk.......... Ntampata wapi na nyingine nyingi
4. Ameimba RNB.......... Nenda kamwambie na nyingine nyingi
5. Ameimba Afro Pop......... fire fire na nyingine nyingi
6. Ameimba mchiriku......... Mdogo Mdogo
7. Ameimba Singeli................ Moto
8. Ameimba Pop...................... African Beauty na nyingine nyingi
9. Ameimba Bolingo.......... Inama, Yope
Honestly, katika historia ya Muziki wa Tz hakuna wa kumfikia Diamond in terms of versality, ameshaimba mahadhi mengi sana ya nyimbo na kote huko ametoa hit songs kitu ambacho hakuna aliyejaribu kujaribu achilia mbali kufanikiwa.
Tukatae tukubali, kumchukia Diamond ni kuuchukia wakati, huu ni wakati wake, kitakachomtoa nambari moja ni pale wakati wake utakapoisha.
Miaka ya 2010’s , tutaikumbuka kama miaka ya Diamond Platnumz, kama vile tukizungumzia 1960’s tunavyowakumbuka The Beatles kwenye Muziki au 1980’s na MJ...
Kiba100 amekupa shilingi ngapi?Kuwaffanya watu wakubali unachotaka wewe huo ni ufala(si)