Diamond aitwa TRA kuhojiwa

Sawa take Hiyo!!!!!!!

Alifikiri wasanii wenzake kukaa kimya kuhusu utajiri wao ni sababu gani?
Wapo wanaopata hela nyingi Hata kumzidi lakini huwezi kuwaona magazetini au mitandaoni kwa kihofia kuandamwa.

Acha dozi imuingie pole pole ndio Kesho asipost mambo ya kusifia biashara asiyolipia ushuru!!!!!
 
Watu wanavuta hewa ya bure,
Sirikali haioni kama kuna kodi hapo
 
mwenye nyumba kapanga,,

mgonjwa anatibu mganga>>>>>>

aliwaimbia kwenye ule wimbo wake,,

wameweka na pozi kabisa utadhania dimondi ndo aliwaita ofisini kwake.,.,.,

hongereni lakini kwa kujenga taifa
 
Umeona mbali...
Wanamtumia kama tangazo la kuhamasisha wengine.
Walianza na trafik case
Now tra.
 
Kweli hali ya mapato ya sirikali tukufu ni mbaya hadi Diamond anaitwa kuokoa jahazi....hahahaha bado kumwita chid benz....maana naye anamapato vinginevyo asingekuwa na hela ya kubwia sembe
 
Kwa Tanzania hii?? Hebu tupe takwimu zako ni mwanamuziki gani anayelipwa au mwenye Pesa kuliko huyu dogo? Nilikuwa najua zamani kidogo, mwanzoni wa 2000,Jide komandoo ndo alikuwa mpango mzima.Kwa mtazamo wangu Mond yuko Poa na hapendi friction na serikali yake.
 
walikuwa wanataka picha na simba tuu
Kweli bwana kwenye majukwaa kiingilio kikubwa hebu ona maafisa wa Serikali wakiweka pozi na Diamond kweli aibu walianza polisi ss TRA sijui nani atafuata kwa ajili ya "PHOTO NA SIMBA"
 
Wakiendelea kumuudhi naye atajiunga CHADEMA sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…