Diamond aitwa TRA kuhojiwa

Diamond aitwa TRA kuhojiwa

Kwa Tanzania hii?? Hebu tupe takwimu zako ni mwanamuziki gani anayelipwa au mwenye Pesa kuliko huyu dogo? Nilikuwa najua zamani kidogo, mwanzoni wa 2000,Jide komandoo ndo alikuwa mpango mzima.Kwa mtazamo wangu Mond yuko Poa na hapendi friction na serikali yake.
Unaowajua ni wale wanaojitangaza.......wapo wanao utajiri zaidi kutokana na biashara halali Na hata haramu. You just don't know yet.
 
kama
Unaowajua ni wale wanaojitangaza.......wapo wanao utajiri zaidi kutokana na biashara halali Na hata haramu. You just don't know yet.
hajajitangaza basi huwezi kumjua na wala huwezi toa taarifa zake..so it means we are in the same canoe...Simba yuko smart.
 
Back
Top Bottom