Jamaa ka-panic !!!Kamuulize baba ako Dimond akupe majibu.
Mimi nimenukuu maneno yake mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa ka-panic !!!Kamuulize baba ako Dimond akupe majibu.
Mimi nimenukuu maneno yake mwenyewe.
Unaowajua ni wale wanaojitangaza.......wapo wanao utajiri zaidi kutokana na biashara halali Na hata haramu. You just don't know yet.Kwa Tanzania hii?? Hebu tupe takwimu zako ni mwanamuziki gani anayelipwa au mwenye Pesa kuliko huyu dogo? Nilikuwa najua zamani kidogo, mwanzoni wa 2000,Jide komandoo ndo alikuwa mpango mzima.Kwa mtazamo wangu Mond yuko Poa na hapendi friction na serikali yake.
hajajitangaza basi huwezi kumjua na wala huwezi toa taarifa zake..so it means we are in the same canoe...Simba yuko smart.Unaowajua ni wale wanaojitangaza.......wapo wanao utajiri zaidi kutokana na biashara halali Na hata haramu. You just don't know yet.