Diamond aitwa TRA kuhojiwa

bado jpm kuomba picha na domo
 
Hvo vipepelushi alivyonavyo Mondi navyo vinahusika na kodi yake?
 
Hawa jamaa hata wakistukia tu paka wako anatoa maziwa wanakuita ili wakuulizie kulipa ushuru bila hata kuuliza umefanyaje
 
UNAHISI KUKWEPA KULIPA KODI NI UJANJA TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Hahahaaa pole simbaaaa,lazima ing'ate pote banaaaa

Fanya mchakato tumege walau tukanunulie madawa kiulaiiniiii

Na hayo ndo mambo tuliyoyataka ya msanii kutoboa na serkal kupata makato yake
 
Wanaofata sasa ni BANDARI watamuita wamuhoji kwann Ile ROLLS ROYCE yake haijafika mpka leo MADALE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…