Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Competition kwenye biashara ni kawaida wabongo acheni mentality za kijinga. Sasa mtu akija na biashara kama yako na wateja ni wale wale inakuwaje siyo ushindani?Kwa hiyo kila mtu atakayeanzisha tamasha anashindana na Fiesta? au unachomaanisha TZ CMG ndio peke yao wanaruhusiwa kuandaa tamasha?.
Sheria zetu zina encourage ushindani lakini wewe mwenzangu unaona ni dhambi? Mentality gani hii? Kibiashara wasanii wote wanashindana kibiashara, na hivyo hivyo media owners kwa hiyo nikisema WCB media wanashindana na CMG kwenye hili tamasha la fiesta ni sawa!Kwa hiyo kila mtu atakayeanzisha tamasha anashindana na Fiesta? au unachomaanisha TZ CMG ndio peke yao wanaruhusiwa kuandaa tamasha?.
Refer kichwa chako cha habari,ndio utaona wewe ndiye mwenye mentality ya kijinga.Sheria zetu zina encourage ushindani lakini wewe mwenzangu unaona ni dhambi? Mentality gani hii? Kibiashara wasanii wote wanashindana kibiashara, na hivyo hivyo media owners kwa hiyo nikisema WCB media wanashindana na CMG kwenye hili tamasha la fiesta ni sawa!
Dogo creative sana huyu...
maana ya competition ndio huo ushindani lakini watu lazima tuu wakujibu shit wafurahishe nafsiRefer kichwa chako cha habari,ndio utaona wewe ndiye mwenye mentality ya kijinga.
Kila kitu nimeeleza kwenye content huo ni ushindani wa kibiashara. Kuja na hilo tamasha ni katika kuboresha huo ushindani. Kwa kuwa wewe ni team Mondi unataka kuuhadaa umma kuwa Mondi hashindani huu ni ujuha. Huwa nashangaa sana napoona msanii anasema hashindani na mtu. Nimewahi kuwasikia wasanii mbalimbali wakisema hawashindani na mtu wakati in real sense wanafanya mziki biashara, biashara ni ushindani. Wabongo badilisheni mentality zenu.Refer kichwa chako cha habari,ndio utaona wewe ndiye mwenye mentality ya kijinga.
Leaders clup ipo ndani ya raisi wa Darasalama ,a.k.a Bashite wataanzaje kukosa mkuu?Na watapata kibali cha ku perform Leader’s Club