screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Na kwanini hujasema Wasafi wanashindana na EFM/ETV?Wafanyabiashara wote ni washindani wanashindana, kwani haujui kuwa EFM wanashindana na cloudsfm,radio one, east Africa radio? Kwa hiyo unataka niseme Wasafi media wao hawashindani? Yaani waingie kwenye soko la ushindani si kwa ajili ya kushindana? Acheni ***** nyie hayo mateam yenu yasiwafanye mjitoe ufahamu kwamba hamjui biashara ni kushindana? Fair Competition Act ilitungwa kwa ajili hiyo hata Mondi mwenyewe anajua anashindana, na anajua kuna watu wanashindana naye!