Smiling killer
JF-Expert Member
- May 1, 2018
- 1,290
- 1,123
Clouds media wamefanya kazi kuifikisha hapo ilipo!....biashara ya media siyo mchezo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu kigumu chini ya jua, as long uwe na plan. Kabla ya cloudsfm kulikuwa na Radio one na radio free Africa. Kutoka na plan zao CMG kuwa nzuri , radio one ishappromoka sasa hivi cloudsfm. Hamna mtu aliyezaliwa kuwa namba moja ila juhudi zako, kujituma na mipango ndio humfanya mtu afanikiwe.Clouds media wamefanya kazi kuifikisha hapo ilipo!....biashara ya media siyo mchezo!
Aliyetangulia katangulia tu...Haitaweza kuipita Fiesta huo ndio ukweli.
Inategemea wewe umeliangalia from what perspective!
Binafsi naona ni creativity, dogo kaona ana fan base kubwa.
Akaamua aje na idea ya kutumia fan base hiyo kuingiza kipato extra.
Hapo atapata wadhamini kibao na itasaidia wasanii wengine ambao hawapo WCB kujipatia maslahi mazuri.
Unlike kama ujira wanao pata wakienda kuperform kwenye matamasha ya Fiesta ambayo wasanii huambulia vilaki tatu tatu.
Diamond sio mbinafsi anajua kuhustle kwenye industry ni nini.
Nadhani undergrounds watapata platform pia kwenye matamasha hayo.
Sasa kama hiki sio creativity sijui ulitaka agundue darubini ya kumuona Mungu ndio ukubali!?!?
Ilikuwa zaidi ya walivyotarajia Jangwani ilikuwa nyomi na Iringa napo show ilifanyika uwanjani na watu walijaa ukibisha nenda YouTube kajionee. Yaani kitu kisiwe successful, alafu uandae tena, ukiona mpaka wanaandaa tena jua ilikuwa successful.Wasafi Beach Party 2017 haikua kama walivyotarajia, matokeo hayakuwa makubwa
Well ni mtizamo wako na naheshimu sasa ni vizuri utuambie hiki anachotaka kufanya ni nini, kama sio creativity.And what term nilitakiwa nitumie?This is not Creativity buddy its something he should/should have done. you cannot call doing what you are supposed to do creativity? yaani mwanamuziki kuandaa matamasha ya muziki ni creativity? kweli?
Craetivity is more than that friend but it all depends with our thinking. it may be creativity to you but to me its not!!
The term creative might be subjective to some of us.
Clouds TV na EATV yupi alianza?Mkuu unachanganya mambo,nazungumzia Brand sizungumzii mtu,Mtu anapita tu,Mtu anapokeza vijiti kwa wengine lakini brand itaendelea kuwepo,Kusaga/Ruge/Seba/Simalenga hata wakiondoka kwenye management watakuja new bloods na kuendeleza brand ya fiesta,Brand ya Fiesta ndio nayozungumzia na si mtu anayeindesha fiesta.
May be "irons are tightening" 😀😀😀😀😀 hahaa "they are fighting with their conditions" 😀😀😀😀😀.Brz king kong FIESTA siku hizi haina mvuto na amsha amsha kama zile za zamani sijui vyuma vimewakaza
Acha mahaba, hata WASAFI ni brand piaMkuu unachanganya mambo,nazungumzia Brand sizungumzii mtu,Mtu anapita tu,Mtu anapokeza vijiti kwa wengine lakini brand itaendelea kuwepo,Kusaga/Ruge/Seba/Simalenga hata wakiondoka kwenye management watakuja new bloods na kuendeleza brand ya fiesta,Brand ya Fiesta ndio nayozungumzia na si mtu anayeindesha fiesta.
EATV alianza kwa jina la ITV2Clouds TV na EATV yupi alianza?
uhakikishe unatembea na wwadada wenye misambwanda huku singeli ikiwa ndio muziki wenuNa mimi nakuja na WACHAFU Festival, bora tushindane tu sasa.
Kichwa cha habari kimekaa kihovyo hovyo.... jifunze kuandika, otherwise waache wafanye wasanii wapate pesa na wafanyabiashara na wananchi waburudike
uhakikishe unatembea na wwadada wenye misambwanda huku singeli ikiwa ndio muziki wenu