Diamond aja na Wasafi Festival kushindana na Fiesta?

Na kwanini hujasema Wasafi wanashindana na EFM/ETV?
 
Hujamuelewa tu. Comparison na clouds haiepukiki kwa sababu fiesta ndiyo tamasha linalofanya vizuri kwa sasa. Ingekuwa siyo sawa kama angelinganisha wasafi festival na kijitamasha cha ajabu.
Angefananisha na lile tamasha la Shika Ndinga ingependeza zaidi
 
Kama shida yako comparison na clouds waombe mods wabadilishe waandike wasafi festival vs ebonyfm festival ya iringa. Ninachokiona ni hofu ya ushindani tu. Mashabiki wa Kiba wanadai msanii wao hashindani na mtu, mashabiki wa Mondi wanasema msanii wao hashindani na mtu. Unabaki unashangaa inawezekanaje katika biashara ya ushindani wa muziki hawa watu hawashindani?
Nimegundua ni hofu na kuepuka pressure za ushindani hofu tu na kutojiamini kuwa wasafi festival isipofanya vizuri tutaonekana tumeshindana tumeshindwa kwa hiyo tuseme hatushindani na mtu. Mashabiki wa kiba nao wana hofu msanii wao asipofanya vizuri wanaonekana wameshindana wameshindwa inabidi waseme msanii wao hashindani na mtu lakini kiuhalisia huwezi kufanya muziki biashara usishindane. Sheria za nchi zinahimiza biashara ya ushindani.

Tuondoe hofu na kutojiamini, unahisi Fiesta ina nguvu kiasi hicho mpaka unahofu Wasafi festival haiwezi kushindana nao? Ni hofu tu
 
Nani anahofu ww, kwa kusema wanashindana na CMG ndio hawatafeli. Ufaulu wa tamasha lolote inategemea na promo na si kufanya comparison kama yako
 
Nani anahofu ww, kwa kusema wanashindana na CMG ndio hawatafeli. Ufaulu wa tamasha lolote inategemea na promo na si kufanya comparison kama yako
Kumbe acha kulialia sasa you have to celebrate
 
Ulitaka CMG wakimbilie mahakamani kama mwendokasi walivyofanya baada ya serikali kusema italeta mwekezaji mwingine?
 
Nani kalia, jifunze kuandika vichwa vya habari vizuri, humu member kibao wameki crush kichwa chako cha habari.
Walio crush ni wachache wale team Mondi wenye hofu kama wewe ndiyo wanaolialia hizi team. Yaani kweli ukijipima as a reasonable person unataka kuuhadaa umma kwamba Diamond Platinum hashindani na mtu sembuse kushindana na clouds?
Na nimeandika hivi purposely kwa sababu najua uhusiano uliopo kati ya Wasafi na Clouds media. Mimi siyo mjinga na I expected some "mapovu" from wapuuzi wachache wenye mahaba.
 
Katika hali ile ambayo inajulikana ni ushindani wa kibiashara kati ya Wasafi na clouds media. Wasafi wameamua kuja na tamasha la wasafi festival kuzunguka mikoani kama fiesta ya clouds wafanyavyo. Nini maoni yako?
Sio mbaya as long as kipato cha wasanii kitaongezeka na wananchi tutapata burudani....
 
Na kwanini hujasema Wasafi wanashindana na EFM/ETV?
Mnachobishana ni nini? yeye kataja Wasafi vs Clouds kwa sababu level za wasafi kwa sasa ni za Clouds so wanadeserve kucompete...WCB hawawezi kushindana na EFM ambao nguvu yao ndogo sana ni sawa na kuichukua BBC uipambanishe na Le Mutuz Media which is not fair...!!! but alichoteleza mtoa mada ni kichwa cha habari...
 
Kwanini kila anachofanya Diamond mnapenda kusema anafanya ili kupambana na fulani???
 
hii sasa sifa... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
I fully support him. Angalizo: afanye bila kuingiza wanasiasa akina Bashite. Maana wao wana yao na Ruge. Kesho wasipokuwa madarakani dogo ndo atasikilizia maumivu. Lakini kama anapambana mwenyewe bila hawa wanaharamu...I can only tell him...the sky is the beginning!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…