Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Ukisema hujielewi afu binafsi najielewa ntaona umechosha vidole... heading yako ungetoa part ya kushindana na fiesta ungekua umetenda haki. Sababu umeandika as if umemnukuu msemaji mmojawapo wa wasafi.Una tatizo kubwa kwenye argumentation skills zako. Unawezaje kucriticise bila kuonesha mbadala? Nikisema haujielewi utasema nimekutukana?
Ni wazi Lemuz Media itashindaMnachobishana ni nini? yeye kataja Wasafi vs Clouds kwa sababu level za wasafi kwa sasa ni za Clouds so wanadeserve kucompete...WCB hawawezi kushindana na EFM ambao nguvu yao ndogo sana ni sawa na kuichukua BBC uipambanishe na Le Mutuz Media which is not fair...!!! but alichoteleza mtoa mada ni kichwa cha habari...
Hahahaaa basi sawaNi wazi Lemuz Media itashinda
Kwenye zile za Mawingu, anaongeza kidogo hela ya nauli.kwenye malipo usiwabane wasanii wenzio najua unajua cmg wanavyowafanya wasanii
hahaa naona leo unatema Cheche"" kimsingi " ukiwa ni mfanya biashara wa duka ..halafu ikatokea mtaa huo huo unaofanyia biashara yako akaja mtu mwingine kufungua duka LA bidhaa kama zako "" basi anakuwa mpinzani" hata kama yeye mwenyew hataki kuutambua huo upinzani wenu ""Una tatizo kubwa kwenye argumentation skills zako. Unawezaje kucriticise bila kuonesha mbadala? Nikisema haujielewi utasema nimekutukana?
Mbona Mond kampita Kiba, na Kiba alitangulia ktk mziki??.....Aliyetangulia katangulia tu...Haitaweza kuipita Fiesta huo ndio ukweli.
Mkuu unachanganya mambo,nazungumzia Brand sizungumzii mtu,Mtu anapita tu,Mtu anapokeza vijiti kwa wengine lakini brand itaendelea kuwepo,Kusaga/Ruge/Seba/Simalenga hata wakiondoka kwenye management watakuja new bloods na kuendeleza brand ya fiesta,Brand ya Fiesta ndio nayozungumzia na si mtu anayeindesha fiesta.Mbona Mond kampita Kiba, na Kiba alitangulia ktk mziki??.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ngoja nijifiche hapa nisubiri mapovu ya wenye timu zao...[emoji1] [emoji1]
Kichwa cha habari kiko sahihi kabisa...Kichwa cha habari kimekaa kihovyo hovyo.... jifunze kuandika, otherwise waache wafanye wasanii wapate pesa na wafanyabiashara na wananchi waburudike
Mpumbavu ni wewe ambaye unataka mtoa mada aandike vile wewe unataka...Mjadala wangu haujajikita kwenye timu(Acha kubadilisha magoli),ila wewe mwenyewe na mitazamo yako ya kijinga,zamani kulikuwa na matamasha kibao tu (Kwafujo dj's walikuwa wanaandaa matamsha mengi tu),lkn sijasikia ujinga na upuuzi kama huu uliouweka hapa wewe(Refer kichwa cha habari yako ) .Ila leo WCB wanaanda tamasha lao unasema wanashindana na CMG,si upuuzi,kwa hiyo kila afanyapo WCB anashindana na CMG.
hahahaa daah kwenye BBC vs LEMUTUZ ndo nimepapendaMnachobishana ni nini? yeye kataja Wasafi vs Clouds kwa sababu level za wasafi kwa sasa ni za Clouds so wanadeserve kucompete...WCB hawawezi kushindana na EFM ambao nguvu yao ndogo sana ni sawa na kuichukua BBC uipambanishe na Le Mutuz Media which is not fair...!!! but alichoteleza mtoa mada ni kichwa cha habari...
Endelea kukariri Mkuu..Aliyetangulia katangulia tu...Haitaweza kuipita Fiesta huo ndio ukweli.
Sawa Mkuu muda utaongea......Endelea kukariri Mkuu..
In History Great Britan was once the Industrial Capital of the World....
Do u know why it Collapsed??
.....watch out....
Ur downfall is here...
Sawa mpumbavu ww, hii jf kila mtu yupo free kuchangia na kukosoa, umesikia ww mpumbavu, kwa hiyo usinichagulie uzi wa kuchangia, umesikia ww mpumbavu na kesho akileta uzi mwengine kama una mapungufu nitaukosoa, umesikia ww mpumbavu, bundle na nunua mimi mwenyewe kwa hiyo nitachangia nitakavyo hata kama mpumbavu kama ww hupendi.Mpumbavu ni wewe ambaye unataka mtoa mada aandike vile wewe unataka...
Anzisha uzi wako.
Inategemea wewe umeliangalia from what perspective!Is this what you call Creativity?