Diamond ajaza nyomi la watu Zambia

Diamond ajaza nyomi la watu Zambia

Dada ongea kwa vidhibitisho, ni wapi ilipoelezwa kuwa hiyo shoo alitakiwa Tecno ......Hivi kwa upeo wako mdogo watu wanapoenda kwenye burudani wanafuata JINA LA HILO TUKIO AU WANAFUATA WATOA BURUDANI WA HILO TUKIO .......??
hyo ni mwaka jana hilo tamasha
 
Acha ujuaji basi,watu wanafuata burudani sio jina la hilo tukio,na burudani wanaangalia ni nani atakayeitoa hiyo burudani na ktk tukio hili mtoa burudani mkuu ni DIAMOND na si vinginevyo.
wacha uongo wewe dogo jiongeze hivi fiesta huwa inajaza kwanini? hilo tamasha la zambia kwanza ni buuure
 
mimi na wewe nani mwenye upeo mdogo .wewe unaeshobokea jambo hata usilolijua .sina muda wa kubishana na watoto msiojua lolote kwanza tafuta nyumbu wenzako .na kwa taarifa yako sio kwamba mimi sio shabiki wa diamond napmpenda diamond sana ila mimi sio shabiki maandazi kama ninyi.hyo show diamond angekuwepo au asinmgekuwepo hilo tamasha huwa linajaza vibaya mno
Mimi ndio shabiki wa MOND na ninaongea kwa hoja sio ilimradi niongee,kwahiyo wewe mwenye upeo mkubwa unaongea vitu unavyoshindwa kudhibitisha si ndio .....Kwahiyo hilo tamasha hata kama MOND HASINGEKUWEPO lingejaza kwa maana hiyo wao ni vichaa kama wewe wakubali kufanya biashara isiyo na masirahi ....???
 
nishakuambia kwanza hapo alikua aende tecno ,bahati mbaya tecno ni mgonjwa kaenda marekani halafu hilo tamasha huwa ni tamasha kubwa huko zambia wanapaform wanamuziki kibao kijana .
 
mimi na wewe nani mwenye upeo mdogo .wewe unaeshobokea jambo hata usilolijua .sina muda wa kubishana na watoto msiojua lolote kwanza tafuta nyumbu wenzako .na kwa taarifa yako sio kwamba mimi sio shabiki wa diamond napmpenda diamond sana ila mimi sio shabiki maandazi kama ninyi.hyo show diamond angekuwepo au asinmgekuwepo hilo tamasha huwa linajaza vibaya mno
Acha uongo hujawahi kuwa shabiki wa Diamond
Unajitekenya na kucheka mwenyewe
 
nishakuambia kwanza hapo alikua aende tecno ,bahati mbaya tecno ni mgonjwa kaenda marekani halafu hilo tamasha huwa ni tamasha kubwa huko zambia wanapaform wanamuziki kibao kijana .
Sasa kama huwa wanajaza ilikuwaje wakamlipa mamilioni ya bure akatumbuize?
Bora hata Bashite ana hoja kuliko wewe
 
nishakuambia kwanza hapo alikua aende tecno ,bahati mbaya tecno ni mgonjwa kaenda marekani halafu hilo tamasha huwa ni tamasha kubwa huko zambia wanapaform wanamuziki kibao kijana .
Dhibitisha unayoyaongea ...kinyume na hivyo we chuki ndio inakutafuna endelea kutafuta kwanza ukimpata unayemtafuta nitarudi kwaajili ya hoja.
 
hyo show ya uwanjani tu kwanza alikuwa aende tecno bahati mbaya tecno akawa ameumwa.hilo huwa ni tamasha kubwa huko zambia kama fiesta vile sio diamond alojaza ni kawaida yao
Ayo unayajua ww ya cjui tekno au huawei.....mond habari nyingne
 
Dhibitisha unayoyaongea ...kinyume na hivyo we chuki ndio inakutafuna endelea kutafuta kwanza ukimpata unayemtafuta nitarudi kwaajili ya hoja.
Anatapa tapa kama kala ugali wa moto mara tamasha ilikuwa aende tekno mara tamasha la bure yaani hatulii utafikiri kakalia moto....
 
Ukweli huyu jamaa level zake asa iv ni za mbali sana maana kauthibitishia umma kuwa anakubalika kila sehem siyo bongo tu.....maana jana kajaza uwanja kabisa tena nchi ya ugenini.

My take acheni kuwa mnamlinganisha diamond na mambo za kijinga.

Kwa hiyo, unataka tufanyeje?
 
Ukweli huyu jamaa level zake asa iv ni za mbali sana maana kauthibitishia umma kuwa anakubalika kila sehem siyo bongo tu.....maana jana kajaza uwanja kabisa tena nchi ya ugenini.

My take acheni kuwa mnamlinganisha diamond na mambo za kijinga.

Wewe mpuuzi, tafuta maendeleo yako.....watu tuko bize tunapigana na maisha, wewe unahangaikia maisha ya watu wasio na tija kwa taifa. Kapige punyeto ama kashikishwe ukuta kama hauna cha kufanya.
 
Sizani kama mtu anaejielewa na muhangaikaji anaweza ropoka uwo uharo.....mm nikafiri viroba havpo kabisa kumbe bado vinapatikana
 
Back
Top Bottom