Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,296
- 3,398
Nani kasema kuwa na elimu lazima uwe tajiri,mtu tajiri kuliko wote dunian siye aliyesoma kuliko wote.Ametisha sana!!! Diamond hana hata Degree lakini anakimbiza hadi maprof kwa hela.
Nani kasema kuwa na elimu lazima uwe tajiri,mtu tajiri kuliko wote dunian siye aliyesoma kuliko wote.
Mi toka nasikia Diamond anajenga mpaka leo nyumba hazijakamilika tu na akahamiaq duuuy
±±±±±±±±±±Wewe nani kasema ukisoma ndio utakuwa tajiri? Embu Google bill gates na steves jobs!
Nani kasema kuwa na elimu lazima uwe tajiri,mtu tajiri kuliko wote dunian siye aliyesoma kuliko wote.
daimond anajua kucheza na maisha
Dah inaelekea mafundi wake wanampiga sana nyumba haijaisha ukuta wa fensi umezibwa nyufa hivyo?
Unayo shilingi ngapi hapo mfkoni!!Ametisha sana!!! Diamond hana hata Degree lakini anakimbiza hadi maprof kwa hela.
Wewe nani kasema ukisoma ndio utakuwa tajiri? Embu Google bill gates na steves jobs!
Kuna point nyingine ukitoa like tu unakua hujatenda haki, mkuu weka namba ya simu nirushe vocha ya elfu mbili...