eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Kitu niache mtaani ni hatari kila nakopita naskia niache niache sijui nani kawashikaMara nyingi kipindi cha hivi karibuni amekuwa akitoa Audio ambazo huwezi kusikiliza mara mbili sikioni tofauti na mwnzake king kiba
Domond amekuwa akiuza sana kupitia vidio tofauti na Audio maana Audio hazipi heshima kama vidio anazotoa
Najiuliza tu kama Vidio zisinhekuwepo sijui kama hizi Audio zake za nyimbo 2 alizotoa zingefika mbali
Zamani wakati anaanza Audio zilikuwa bombs lakini hivi sasa ni kama anafanya ili mradi tu Audio huku kipaumbele chake kikiwa Vidio
Ni ukweli usio na shaka kwenye Audio za dimond hivi karibuni zinaboa masikioni
Sisi wapenzi wa Audio kuliko Vidio anatukosea sana
Nawasilisha tu
Na wew toa wimbo wako mpya utakaoitwa gongolamboto..tuone kama mbagala haitapitwa.Zamani Diamond aliimba haswa ila kwa sasa naona anapiga kelele "Sijaona wimbo wake mpya hata unaofikia Mbagala"
Madini unayo bro ongeraHivi kk umepitia YouTube yaani audio ya SIKOMI inatrend siku tatu inakaa namba moja (NIACHE imekaa tano bora siku tatu) na nyimbo zimetoka bila promo wala kiki apo na hizi nyimbo zote diamond platnumz, kafanya kama freestyle zipo hivyo Je angeongeza userious kidogo si ingekuwa hatari na ushajiuliza angefanya na video zingekuwaje au swali dogo tokea ufuatiliege YouTube, nitajie msanii ambaye audio ya nyimbo yake, ili trend YouTube kwa kushika namba moja japo kwa siku moja tu. Usichokipenda ww usikitie hila. Alafu hizi record za kiba anauza sana audio mnazitoa wapi, marry me imegonga platnumz mara 6,ndani ya miezi 8 (120,000),sasa ushajiuliza ngoma ya NANA iliuza kopi kiasi gani, kwani ilifanya vizuri kwa nchi zinazoongea kifaransa mpaka kushika no 1 iTunes, Burkina faso, hapo bado Kenya na Uganda, na NANA ndio nyimbo ya kwanza ya diamond platnumz kushika no 1 MTV base (wasanii wengine nyimbo zao zilizoshika na moja kutoka Tanzania ni game, Navy kenzo, nusu nusu Joh makini hakuna zaidi ya hao) , na NANA ktk nyimbo bora za mwaka 2015 MTV base ikashika namba tano, MCE ya Kenya 2015 diamond ndie msanii ambaye nyimbo zake zilipata mzunguko kwa kupigwa sana redioni na diamond kuingiza TSh mil 600, huku bahati akishika namba 2 na sauti sol namba tatu. Hivi kk kuwa msomi hebu nitajie chanzo kimoja, kinachosema kwamba kiba anauza zaidi ya diamond platnumz na kwa mwaka huu kama tukipiga mauzo ya single tu basi no 1 wizkid (closer imeuza zaidi 200000 na akapewa hadhi ya silver uingereza), 2 davido, tatu diamond (marry me 120000), ila kaka naomba unitajie REFERENCE na si kuongozwa na hisia nenda sportfy huko kaangalie msanii gani kutoka East Africa anayefanya vizuri, acha kuongozwa na hisia.
aise"Hivi kk umepitia YouTube yaani audio ya SIKOMI inatrend siku tatu inakaa namba moja (NIACHE imekaa tano bora siku tatu) na nyimbo zimetoka bila promo wala kiki apo na hizi nyimbo zote diamond platnumz, kafanya kama freestyle zipo hivyo Je angeongeza userious kidogo si ingekuwa hatari na ushajiuliza angefanya na video zingekuwaje au swali dogo tokea ufuatiliege YouTube, nitajie msanii ambaye audio ya nyimbo yake, ili trend YouTube kwa kushika namba moja japo kwa siku moja tu. Usichokipenda ww usikitie hila. Alafu hizi record za kiba anauza sana audio mnazitoa wapi, marry me imegonga platnumz mara 6,ndani ya miezi 8 (120,000),sasa ushajiuliza ngoma ya NANA iliuza kopi kiasi gani, kwani ilifanya vizuri kwa nchi zinazoongea kifaransa mpaka kushika no 1 iTunes, Burkina faso, hapo bado Kenya na Uganda, na NANA ndio nyimbo ya kwanza ya diamond platnumz kushika no 1 MTV base (wasanii wengine nyimbo zao zilizoshika na moja kutoka Tanzania ni game, Navy kenzo, nusu nusu Joh makini hakuna zaidi ya hao) , na NANA ktk nyimbo bora za mwaka 2015 MTV base ikashika namba tano, MCE ya Kenya 2015 diamond ndie msanii ambaye nyimbo zake zilipata mzunguko kwa kupigwa sana redioni na diamond kuingiza TSh mil 600, huku bahati akishika namba 2 na sauti sol namba tatu. Hivi kk kuwa msomi hebu nitajie chanzo kimoja, kinachosema kwamba kiba anauza zaidi ya diamond platnumz na kwa mwaka huu kama tukipiga mauzo ya single tu basi no 1 wizkid (closer imeuza zaidi 200000 na akapewa hadhi ya silver uingereza), 2 davido, tatu diamond (marry me 120000), ila kaka naomba unitajie REFERENCE na si kuongozwa na hisia nenda sportfy huko kaangalie msanii gani kutoka East Africa anayefanya vizuri, acha kuongozwa na hisia.
Umetema vitu adumu kinyamaaaHivi kk umepitia YouTube yaani audio ya SIKOMI inatrend siku tatu inakaa namba moja (NIACHE imekaa tano bora siku tatu) na nyimbo zimetoka bila promo wala kiki apo na hizi nyimbo zote diamond platnumz, kafanya kama freestyle zipo hivyo Je angeongeza userious kidogo si ingekuwa hatari na ushajiuliza angefanya na video zingekuwaje au swali dogo tokea ufuatiliege YouTube, nitajie msanii ambaye audio ya nyimbo yake, ili trend YouTube kwa kushika namba moja japo kwa siku moja tu. Usichokipenda ww usikitie hila. Alafu hizi record za kiba anauza sana audio mnazitoa wapi, marry me imegonga platnumz mara 6,ndani ya miezi 8 (120,000),sasa ushajiuliza ngoma ya NANA iliuza kopi kiasi gani, kwani ilifanya vizuri kwa nchi zinazoongea kifaransa mpaka kushika no 1 iTunes, Burkina faso, hapo bado Kenya na Uganda, na NANA ndio nyimbo ya kwanza ya diamond platnumz kushika no 1 MTV base (wasanii wengine nyimbo zao zilizoshika na moja kutoka Tanzania ni game, Navy kenzo, nusu nusu Joh makini hakuna zaidi ya hao) , na NANA ktk nyimbo bora za mwaka 2015 MTV base ikashika namba tano, MCE ya Kenya 2015 diamond ndie msanii ambaye nyimbo zake zilipata mzunguko kwa kupigwa sana redioni na diamond kuingiza TSh mil 600, huku bahati akishika namba 2 na sauti sol namba tatu. Hivi kk kuwa msomi hebu nitajie chanzo kimoja, kinachosema kwamba kiba anauza zaidi ya diamond platnumz na kwa mwaka huu kama tukipiga mauzo ya single tu basi no 1 wizkid (closer imeuza zaidi 200000 na akapewa hadhi ya silver uingereza), 2 davido, tatu diamond (marry me 120000), ila kaka naomba unitajie REFERENCE na si kuongozwa na hisia nenda sportfy huko kaangalie msanii gani kutoka East Africa anayefanya vizuri, acha kuongozwa na hisia.
Nilichosema na ulichoandika ni vitu viwili tofautiHivi kk umepitia YouTube yaani audio ya SIKOMI inatrend siku tatu inakaa namba moja (NIACHE imekaa tano bora siku tatu) na nyimbo zimetoka bila promo wala kiki apo na hizi nyimbo zote diamond platnumz, kafanya kama freestyle zipo hivyo Je angeongeza userious kidogo si ingekuwa hatari na ushajiuliza angefanya na video zingekuwaje au swali dogo tokea ufuatiliege YouTube, nitajie msanii ambaye audio ya nyimbo yake, ili trend YouTube kwa kushika namba moja japo kwa siku moja tu. Usichokipenda ww usikitie hila. Alafu hizi record za kiba anauza sana audio mnazitoa wapi, marry me imegonga platnumz mara 6,ndani ya miezi 8 (120,000),sasa ushajiuliza ngoma ya NANA iliuza kopi kiasi gani, kwani ilifanya vizuri kwa nchi zinazoongea kifaransa mpaka kushika no 1 iTunes, Burkina faso, hapo bado Kenya na Uganda, na NANA ndio nyimbo ya kwanza ya diamond platnumz kushika no 1 MTV base (wasanii wengine nyimbo zao zilizoshika na moja kutoka Tanzania ni game, Navy kenzo, nusu nusu Joh makini hakuna zaidi ya hao) , na NANA ktk nyimbo bora za mwaka 2015 MTV base ikashika namba tano, MCE ya Kenya 2015 diamond ndie msanii ambaye nyimbo zake zilipata mzunguko kwa kupigwa sana redioni na diamond kuingiza TSh mil 600, huku bahati akishika namba 2 na sauti sol namba tatu. Hivi kk kuwa msomi hebu nitajie chanzo kimoja, kinachosema kwamba kiba anauza zaidi ya diamond platnumz na kwa mwaka huu kama tukipiga mauzo ya single tu basi no 1 wizkid (closer imeuza zaidi 200000 na akapewa hadhi ya silver uingereza), 2 davido, tatu diamond (marry me 120000), ila kaka naomba unitajie REFERENCE na si kuongozwa na hisia nenda sportfy huko kaangalie msanii gani kutoka East Africa anayefanya vizuri, acha kuongozwa na hisia.
Hivi kk umepitia YouTube yaani audio ya SIKOMI inatrend siku tatu inakaa namba moja (NIACHE imekaa tano bora siku tatu) na nyimbo zimetoka bila promo wala kiki apo na hizi nyimbo zote diamond platnumz, kafanya kama freestyle zipo hivyo Je angeongeza userious kidogo si ingekuwa hatari na ushajiuliza angefanya na video zingekuwaje au swali dogo tokea ufuatiliege YouTube, nitajie msanii ambaye audio ya nyimbo yake, ili trend YouTube kwa kushika namba moja japo kwa siku moja tu. Usichokipenda ww usikitie hila. Alafu hizi record za kiba anauza sana audio mnazitoa wapi, marry me imegonga platnumz mara 6,ndani ya miezi 8 (120,000),sasa ushajiuliza ngoma ya NANA iliuza kopi kiasi gani, kwani ilifanya vizuri kwa nchi zinazoongea kifaransa mpaka kushika no 1 iTunes, Burkina faso, hapo bado Kenya na Uganda, na NANA ndio nyimbo ya kwanza ya diamond platnumz kushika no 1 MTV base (wasanii wengine nyimbo zao zilizoshika na moja kutoka Tanzania ni game, Navy kenzo, nusu nusu Joh makini hakuna zaidi ya hao) , na NANA ktk nyimbo bora za mwaka 2015 MTV base ikashika namba tano, MCE ya Kenya 2015 diamond ndie msanii ambaye nyimbo zake zilipata mzunguko kwa kupigwa sana redioni na diamond kuingiza TSh mil 600, huku bahati akishika namba 2 na sauti sol namba tatu. Hivi kk kuwa msomi hebu nitajie chanzo kimoja, kinachosema kwamba kiba anauza zaidi ya diamond platnumz na kwa mwaka huu kama tukipiga mauzo ya single tu basi no 1 wizkid (closer imeuza zaidi 200000 na akapewa hadhi ya silver uingereza), 2 davido, tatu diamond (marry me 120000), ila kaka naomba unitajie REFERENCE na si kuongozwa na hisia nenda sportfy huko kaangalie msanii gani kutoka East Africa anayefanya vizuri, acha kuongozwa na hisia.