eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Mara nyingi kipindi cha hivi karibuni amekuwa akitoa Audio ambazo huwezi kusikiliza mara mbili sikioni tofauti na mwnzake king kiba
Domond amekuwa akiuza sana kupitia vidio tofauti na Audio maana Audio hazipi heshima kama vidio anazotoa
Najiuliza tu kama Vidio zisinhekuwepo sijui kama hizi Audio zake za nyimbo 2 alizotoa zingefika mbali
Zamani wakati anaanza Audio zilikuwa bombs lakini hivi sasa ni kama anafanya ili mradi tu Audio huku kipaumbele chake kikiwa Vidio
Ni ukweli usio na shaka kwenye Audio za dimond hivi karibuni zinaboa masikioni
Sisi wapenzi wa Audio kuliko Vidio anatukosea sana
Nawasilisha tu