Diamond ajisalimisha Polisi baada ya kuvunja sheria za Barabarani

Ustaa na skendo ya aina yoyote ni kama samaki na maji! so usiogope
 
Am
amejikamatisha makusudi ili naye aandikwe hahahahha. Kweli amefulia
 
Pole sana mkuu kwa maandishi ni jinsi gani umeumia kwa kitendo alichofanya braza chibu
 
Ngoja magreater thinker wa ubuyu waje, tutapata jibu kamili![emoji30]
 
Tanzania unaenda Polisi unajisalimisha Unalipa faini then unapiga Picha na Kamanda Maisha yanaenda safi kabisa.
 
Tanzania ya vitisho na sio viwanda,

Tuna safari ndefu sana kufika tuendandako bora tundepanda hata baiskeli ya miti hii tunayoitumia sijui ni ipi,
 
Nchi yetu utulivu, amani na maelewano vimejaa tele. Achana na Bwana Yule. Hajui alitendalo.
 
Mpinga nae anatafuta kutambulika njee hapo kafurahiii anaenda kung'aa kwenye mitandao na platnam
 
Hapo minaona Diamond alienda kupiga picha na wakubwa wa polisi, kisha aweze tupia kwenye mitandao
 
Diamond ni kioo cha jamii.. Makosa aliyofanya public watu wengi wanaweza kumuiga.. Hivyo kulipa faini public inawafundisha pia watu kutii sheria za barabarani. Nina hakika kwa alichokifanya watu wengi sasa wataachaa hii tabia haswa wadada na wasanii wengine kujirecord wakiwa barabarani.Napongeza sana jeshi la police hapo.
 
Kwani diamond lazima asikilizwe na mpinga moja kwa moja?? Fine na Maelezo yake kwann hayajaishia kaunta???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…