Diamond ajisalimisha Polisi baada ya kuvunja sheria za Barabarani

Diamond ajisalimisha Polisi baada ya kuvunja sheria za Barabarani

Diamond ni kioo cha jamii.. Makosa aliyofanya public watu wengi wanaweza kumuiga.. Hivyo kulipa faini public inawafundisha pia watu kutii sheria za barabarani. Nina hakika kwa alichokifanya watu wengi sasa wataachaa hii tabia haswa wadada na wasanii wengine kujirecord wakiwa barabarani.Napongeza sana jeshi la police hapo.
Kumbuka hakwenda mwenyewe ameitwa na kaenda.
 
Jeshi la police linapotumika kutoa kiki kwa msanii.. Toka lini police wameanza kupiga picha na mtuhumiwa aliyeendesha gari bila kufunga mkanda?
Angetakiwa apige picha akiwa ameshika bango la kosa lake kama wengine
 
Yani kitendo chao cha kuwekwa ndani tayari ilikuwa kampeni tosha wewe huoni kuwa imesambaa hadi humu ndani ulikuwa mjadara mkubwa na picha juu.
Sasa angelipa faini tu akaondoka tungelijua wapi lakini hizo picha si unaona hata mwenyewe kazipost na ujumbe murua kabisa wa kutukumbusha kufunga mkanda tofauti na madawa kukamatwa kwao tu ilikuwa gumzo na watu wanaofanya walianza kaa chonjo.
Ila ingekuwa mimi ndiye nimepiga picha nikapost hata zisingekuwa na impact.
Ingekuwa mimi ndiye niliwekwa ndani kwa ajili ya tuhuma za dawa hata isingekuwa na impact and no body would have known labda watu wangu wa karibu.
Hii ndiyo tofauti ya mtu mashuhuri na wengine na ndiyo maana hata makampuni yakitaka matangazo yanatafuta watu mashuhuri japo wanawalipa pesa kubwa tofauti na wangemtumia mtu wa kawaida.
Hii ni Double standard Wale wengine waliofanya kosa kama lake walipandishwa kizimbani hata dhamana hawakupewa.
 
Mhalifu anaenda kupiga picha na polisi. Si amethibitika kuwa ni mkosaji na amepigwa faini. Kwa hiyo baada ya hapo ni muda wa picha.

Daah ngoja na mm siku nakamatwa baada ya kupigwa faini ntamuomba trafiki nipige nae picha.. sijui ataniongezea faini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii ni Double standard Wale wengine waliofanya kosa kama lake walipandishwa kizimbani hata dhamana hawakupewa.
Wale walikuwa wanaendesha public transport ndugu... lile ni bus la abiria.
And by the way dereva alinyanyuka kwenye kiti akaanza kata mauno na wala kosa lao halikuwa kutofunga mkanda kama diamond.
Kosa la diamond ni kutofunga mkanda wakati anaendesha gari.
 
77548b5554d174a471f336bfe895d722.jpg





Kumbe kuna zambi kubwa na ndogo[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 
Back
Top Bottom