Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hiyo ni table organizer dogo. Huoni kalamu zimewekwa humo?Naona mdoli wa grader ya Catapilar mezani, how is it related to that office?
By the way, toy zina maana nyingi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni table organizer dogo. Huoni kalamu zimewekwa humo?Naona mdoli wa grader ya Catapilar mezani, how is it related to that office?
Anakujua nani? Haitakuwa na faida yeyote, ila mond kwasababu ni superstar hiyo inawasaidia vijana wengine kujifunza kutoka kwakeMhalifu anaenda kupiga picha na polisi. Si amethibitika kuwa ni mkosaji na amepigwa faini. Kwa hiyo baada ya hapo ni muda wa picha.
Daah ngoja na mm siku nakamatwa baada ya kupigwa faini ntamuomba trafiki nipige nae picha.. sijui ataniongezea faini
AjabuKwani diamond lazima asikilizwe na mpinga moja kwa moja?? Fine na Maelezo yake kwann hayajaishia kaunta???
dogo
Hapana hii ni kwa superstar tuu namba moja tz na E. A , kila anachofanya ni demoHivi washitakiwa wote huwa wanapiga picha na Trafic officer
Au usaniii usanii tuu
Kwanini inaandikwa kwa Kiingereza au ndio lugha ya taifa
Kwani diamond lazima asikilizwe na mpinga moja kwa moja?? Fine na Maelezo yake kwann hayajaishia kaunta???
Anaitwa "Mpingo", soma kibao hapo.Mpinga nae anatafuta kutambulika njee hapo kafurahiii anaenda kung'aa kwenye mitandao na platnam
Kwanza aliipata vipi picha bila maelezo ya kutosha?Picha umeleta wewe unatuuliza sisi